mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Mwambie nafasi Yake ni u naibu tuu ndio vyeo vinavyomfaaAlikuwa analitumika Taifa kama Naibu wa mwanasheria Mkuu wa serkali
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie nafasi Yake ni u naibu tuu ndio vyeo vinavyomfaaAlikuwa analitumika Taifa kama Naibu wa mwanasheria Mkuu wa serkali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanambeya🙈🙈🙈🙈
Jamaa ID imesajiliwa jana tu, kisha anzisha thread tano. Post tu, zimeshafika 300.Jinga lingine limezaliwa Lumumba! Full time liko JF na ujinga wa siasa za kishenzi!
Wanatukwamisha kivipi?Ccm inakwamishwa na Chadema kuindeleza mbeya
Ndio wamesema wanampiga chini sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie nafasi Yake ni u naibu tuu ndio vyeo vinavyomfaa
Wanatukwamisha kivipi?
Wanazuiwa watu wasifanye kazi au kulipa kodi? Wanazuia ujenzi wa bara bara na Zahanati...mbona majimbo mengi tunayaongoza lakini hamna maendeleo? Mfano .Karagwe,Kongwa,Bariadi,Shinyanga mjini...Wewe ni mmoja ya vijana mnatufanya wanaccm tuonekane wajinga aisee
Usilo lijua ni kwamba mbeya adui wao mkuu ni CCM na siyo mtu.
Wafanye masikini ili uwarubuni kwa peremende uwatawale milele.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Wamemwamini kwa kura zipi? Zilipigwa lini?
Hela inaliwa Bajaj zinachukuliwa lakini kura zote kwa SuguEndelea kulala kwenye blanket, Tulia ackson Ndio tumaini la wana mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Hela inaliwa Bajaj zinachukuliwa lakini kura zote kwa Sugu
Wamemwamini kwa kura zipi? Zilipigwa lini?
Wafanye masikini ili uwarubuni kwa peremende uwatawale milele.
Wewe october utajificha tu halafu uje na Id nyingine hahahaa!!
Mimi hiyo inanisaidia nini?
Awe tulia, awe sugu.... kuna lolote lenye tija hapo kwangu?
Bunge lenyewe uchwara hili la waswahili linanisaidia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatetea wachawi