Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Vumbi la mbeya limekupofua mkuu. Mbeya haistahili kuwa ilivyo sasa.macho yako yatakuwa na makengeza na yanakudanganya….
Ili iweje....akili nawe auna kabisa
Ahsante kwa kuthibitisha kuwa uchaguzi utakuwa wa HURU NA HAKI!
macho yako yatakuwa na makengeza na yanakudanganya….
Pesa hiyo kwa mtumishi wa umma ameipata wapi, nenda Fanya tathmini ya anachokitoa dhidi ya pato lake. Hatuhitaji rushwa tunahitaji watu wenye uwezo wa kuleta Sera mbadala, badala ya ndio mzee.
Ni aibu kwa mtz kupromote rushwa nani aibu zaidi kama mtz Huyo ni mwanamme.
#kampeni kabla ya muda ni haki kwa baadhi
#Anzakanoon
Huyo tulia sikuzote alikuwa wapi,mpaka autake ubunge ndio afanye mambo hayo.hana sifa ya kuwa mbunge,anatoa rushwa ili apate ubunge.kama anafanya kwa kuwapenda wana mbeya basi anaweza kuendela kuwahudumia bila kuwa mbunge..
Hizo ni hela anapewa ili zimpatie ubunge sasa subirini baada ya kupata anachokitafuta ndo mtaelewa kwamba kuna mahusiano gani kati ya chizi na makopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iweje....akili nawe auna kabisa
Aendelee kuisaidia kwani lazima awe mbunge.alafu niambie mwaka gani alifanya hivyo na alifanya nini kabla ajawa spika wa bunge.
Ccm wenyewe mbeya mjini hawamtaki Tulia
Nadhani huwajui vizuri wasafwa wewe
Tulia kama akishinda atashinda kwa nguvu ya dola
Kwa msaada wa ikulu yenyewe kama yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app