GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata Mwenyekiti wake na Chama chake kitampa Pesa ila Sisi tutakachofanya tutamlia Pesa zake, tutamsifikia Kinafiki ili kumjaza Upepo ajiaminishe na tarehe 28 Oktoba 2020 kama Kawaida yetu wana CCM wa Kawe tutamuonyesha kuwa ndiyo Mabingwa wa Kusaliti na Kupiga Kura za Maruhani ( za Kukomoa ) tu"
Kauli muhimu niliyoisikia kutoka katika Msafara wa Mdee ni hii nainukuu hapa chini:
"Tunachojua tu ni kwamba Mdee ni bonge la Mbunge ila anakomolewa na kuhujumiwa sana tu na Serikali Kuu ili aonekane hafai na CCM waweze Kutumia huo mwanya na Kumtoa. Kama kuna Mtu ambaye CHADEMA tulikuwa tunamuogopa Kawe kutoka CCM alikuwa ni Yule Kijana wao Furaha kwakuwa Kwanza tulikuwa hatumjui vyema ila wana CCM Kawe ndiyo alikuwa Chaguo lao Kubwa.
Kwa kutuwekea huyu Mchungaji, Muhuni na Mnafiki CHADEMA tunajua tunashinda Asubuhi na tayari kuna Wanachama wengi tu wa CCM wametuambia kuwa kwa sasa watajifanya kuwa karibu na Mtu Wao ila Kura zao kwa 85% watampigia Mdee"
Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.