Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Amekulia mwanao
Kwani Gwajima ameongea na dada yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekulia mwanao
Sawasawa. Tukutane October 2020. Lazima ukimbie humu wewe
CCM watakupinga hapa lkn huo ndo ukweli mkuu ..ccm haijawa tayar kulichukua Jimbo la kawe ..Mdee ataendelea kuwa mbunge wa kawe mpk mtakapoamua rasmi
Habari ya kinazi hii,utashangiliaje huku umenuna?tusubiri tarehe 28,mengine ni blah blah tuMsafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Thubutu yakeGwajiboy mzee wa uno lazima ashinde
Na ukumbuke wengi wao aliwakusanya wale nyumbu wake wa kanisani na akawanunulia sale za mbogamboga ili kujaza umati.
Na hao nyumbu wake ni wa kutoka majimbo ya mbali na kawe.
Sijawahi kusikia akisifiwa mgombea wa ccm hata mmoja so hata mkimbeza Gwajima ni sawa. Wengi wanaopiga kelele humu utakuta hata hawakujiandikisha. Kuna watu wanachagua chama siyo mtu so, Gwajima atashinda tu hata kwa bao la mkono. Wait and u will see.au ndiyo huyo huyo Mwandamizi wa CCM aliyeniambia na Mimi kuwa kupitia tu Kumkapenia Gwajima atapaua Nyumba zake Mbili ila Kura hampigii?