Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Ukweli ndio wengine hukumu zao tunaanzia hapa duniani
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, Iliwahi kutokea SHINYANGA Mktugenzi akatangaza matokeo akiwa kwenye treni.
 
Gwaji Bwana,alimshindwa bashite zero brain, atamuweza Mdee akili kubwa???
Aendelee na mazingaombwe yake ya kufufua wafu.
 
Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Habari ya kinazi hii,utashangiliaje huku umenuna?tusubiri tarehe 28,mengine ni blah blah tu
 
Na ukumbuke wengi wao aliwakusanya wale nyumbu wake wa kanisani na akawanunulia sale za mbogamboga ili kujaza umati.

Na hao nyumbu wake ni wa kutoka majimbo ya mbali na kawe.

Hii bado ni kampeni ama ni upumbavu wa kishetani kutoka kuzimu? Utaona matokeo ya kumtumikia shetani na kumkataa Mungu. Kanisa limekosa niini hapa?
 
au ndiyo huyo huyo Mwandamizi wa CCM aliyeniambia na Mimi kuwa kupitia tu Kumkapenia Gwajima atapaua Nyumba zake Mbili ila Kura hampigii?
Sijawahi kusikia akisifiwa mgombea wa ccm hata mmoja so hata mkimbeza Gwajima ni sawa. Wengi wanaopiga kelele humu utakuta hata hawakujiandikisha. Kuna watu wanachagua chama siyo mtu so, Gwajima atashinda tu hata kwa bao la mkono. Wait and u will see.
 
Hilo la kupiga hela yake halafu humchagui sishauri, kuna watu hela zao zina majini. Utaila hela yake na utashindwa kumchagua mpinzani wake.. Siku hizi hela inarogwa, shauri yenu
 
Mkuu GENTAMYCINE umetupa yale uliyoyasikia tupe na mtazamo wako ukoje?

Hivi sijui kwa nini Mch anahangaika kuwa Mbunge wakati jukumu hilo tu la uchungaji ni shughuli pevu?
 
Back
Top Bottom