Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Umejificha kama mbuni mzigo uko nje " mjane"!

Wewe ni Mfano tosha tu wa CCM yetu ya sasa 'Kudharaulika' na Wadau si tu ndani ya Ardhi ya Tanzania hii, bali mpaka huko Ulimwenguni kote pia.
 
upuzii mwingine
 
Halafu hamuoni haya kufanya figisu kuwapitisha wagombea ubunge na udiwani wengine bila kupingwa Dunia inawashangaa ladha ya ushindi kuwe na ushindani sijui shule mnaendaga kusomea ujinga
Kama hata kujaza fomu hawawezi wataweza kuwatumikia watz?
 
Asante kwa unafiki wako
 
Gwajima hata akikosa ubunge ana jazi nyingi za kumuingizia pesa kama:

Uchungaji
Uaskofu
Ufanyabiashara
Kucheza porno..video za kikubwa
Utukanaji na uchambaji.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Itunze hii tukumbushane baada ya Oktoba 28!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…