Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Dua la kuku uliona wapi linampata mwewe?
Na siku zote kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji nyie tapeni tapeni tu ila mwisho wenu umefika.
 
Mbivu na mbichi October utaona kama uyo mdee atapita ndipo utajua kuwa ata wewe ulivyokuwa unachukuwa izo taarifa zako walikuwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
“Kama kuna mtu atapaswa 'kuchechemea' ili tushinde Kawe, na atachechemea”!!

Mwisho wa kunukuu.
 
Kawe kama kawe... me nawakubali nyie ni kama kigambon tuu😂😂😂
 
Shida ni hii kauli,''Nimekupa gari na nyumba harafu umtangaze Mpinzani"'! Hii kauli nikiikumbuka hamu ya kwenda kupiga kura inaisha.
 
Halafu hamuoni haya kufanya figisu kuwapitisha wagombea ubunge na udiwani wengine bila kupingwa Dunia inawashangaa ladha ya ushindi kuwe na ushindani sijui shule mnaendaga kusomea ujinga
Point ni kushinda 😂, huo ushindani utamsaidia nini mlengwa?
 
Ngoja mmchague kisha awafanyie sapraisi waislamu kwenye misikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…