Mwaisa sokapa
Member
- Jul 13, 2020
- 91
- 20
Dua la kuku uliona wapi linampata mwewe?Haka kachungaji na kaaskofu feki kanaenda kupata laana za Mungu...
Laana za waislamu wa kweli
Laana za wakatoliki wa kweli
Laana za wachaMungu wa kweli....
Nikikumbuka yale mauno kalikokuwa kanamkatikia yule mwanakondoo..... nabaki najiuliza CCM wametuonaje wanaKawe kutuletea haka kahuni?
Na siku zote kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji nyie tapeni tapeni tu ila mwisho wenu umefika.