Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Leo nilikuwa naongea na kada mwandamizi wa CCM , kaniambia kabisa hata CCM wanasema Kawe ni sawa tu wapoteze kuliko kumpa kura Gwajima
ndugu yangu hizi politiki acha tu,yanaweza tokea ya Trump na Hilary Clinton!!! ngoja tuone
 
Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata Mwenyekiti wake na Chama chake kitampa Pesa ila Sisi tutakachofanya tutamlia Pesa zake, tutamsifikia Kinafiki ili kumjaza Upepo ajiaminishe na tarehe 28 Oktoba 2020 kama Kawaida yetu wana CCM wa Kawe tutamuonyesha kuwa ndiyo Mabingwa wa Kusaliti na Kupiga Kura za Maruhani ( za Kukomoa ) tu"

Kauli muhimu niliyoisikia kutoka katika Msafara wa Mdee ni hii nainukuu hapa chini:
"Tunachojua tu ni kwamba Mdee ni bonge la Mbunge ila anakomolewa na kuhujumiwa sana tu na Serikali Kuu ili aonekane hafai na CCM waweze Kutumia huo mwanya na Kumtoa. Kama kuna Mtu ambaye CHADEMA tulikuwa tunamuogopa Kawe kutoka CCM alikuwa ni Yule Kijana wao Furaha kwakuwa Kwanza tulikuwa hatumjui vyema ila wana CCM Kawe ndiyo alikuwa Chaguo lao Kubwa.

Kwa kutuwekea huyu Mchungaji, Muhuni na Mnafiki CHADEMA tunajua tunashinda Asubuhi na tayari kuna Wanachama wengi tu wa CCM wametuambia kuwa kwa sasa watajifanya kuwa karibu na Mtu Wao ila Kura zao kwa 85% watampigia Mdee
"

Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Kwa hiyo ulikuwa katika misafara yote...duh
 
MWISHO WA LESBIAN UMEFIKA KAWE, HATA MJIFARIJI MTANDAONI OCTOBER 28 MUANDALIENI MDEE BENCHI UFIPA AWE SECRETARY WA MNYIKA, NA HUYU ATAANZA KAZI HIYO KWA AMSTERDAM [emoji116]
FB_IMG_1594635224491.jpg
FB_IMG_1591479815656.jpg
 
Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata Mwenyekiti wake na Chama chake kitampa Pesa ila Sisi tutakachofanya tutamlia Pesa zake, tutamsifikia Kinafiki ili kumjaza Upepo ajiaminishe na tarehe 28 Oktoba 2020 kama Kawaida yetu wana CCM wa Kawe tutamuonyesha kuwa ndiyo Mabingwa wa Kusaliti na Kupiga Kura za Maruhani ( za Kukomoa ) tu"

Kauli muhimu niliyoisikia kutoka katika Msafara wa Mdee ni hii nainukuu hapa chini:
"Tunachojua tu ni kwamba Mdee ni bonge la Mbunge ila anakomolewa na kuhujumiwa sana tu na Serikali Kuu ili aonekane hafai na CCM waweze Kutumia huo mwanya na Kumtoa. Kama kuna Mtu ambaye CHADEMA tulikuwa tunamuogopa Kawe kutoka CCM alikuwa ni Yule Kijana wao Furaha kwakuwa Kwanza tulikuwa hatumjui vyema ila wana CCM Kawe ndiyo alikuwa Chaguo lao Kubwa.

Kwa kutuwekea huyu Mchungaji, Muhuni na Mnafiki CHADEMA tunajua tunashinda Asubuhi na tayari kuna Wanachama wengi tu wa CCM wametuambia kuwa kwa sasa watajifanya kuwa karibu na Mtu Wao ila Kura zao kwa 85% watampigia Mdee
"

Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Ww si fala tu hujui unachokisema zaidi ya kuongea pumba unazolishwa na hao bwana zako.
Tukutane October 28 sanduku la kura ndiyo litaongea kama huyo msagaji wenu safari hii hajatafuta bwana wa kumuowa kilazima.
 
Na ukumbuke wengi wao aliwakusanya wale nyumbu wake wa kanisani na akawanunulia sale za mbogamboga ili kujaza umati.

Na hao nyumbu wake ni wa kutoka majimbo ya mbali na kawe.
Ww tapika tu ila huwaga hatuna maneno mengi zaidi ya vitendo.
Na safari hii mtaisoma namba tu ndiyo mtajua ni nyumbu wa kanisani kwakwe au ni maamuzi ya wananchi wa Kawe.
 
Ww si fala tu hujui unachokisema zaidi ya kuongea pumba unazolishwa na hao bwana zako.
Tukutane October 28 sanduku la kura ndiyo litaongea kama huyo msagaji wenu safari hii hajatafuta bwana wa kumuowa kilazima.

Ninachojua tu ni kwamba huwezi kuwajua 'Mabwana' zangu kama ulivyoandika hapa pasipo ya Wewe pia kuwa 'Mzoefu' wa kuwa na hao Mabwana.
 
Leo nilikuwa naongea na kada mwandamizi wa CCM , kaniambia kabisa hata CCM wanasema Kawe ni sawa tu wapoteze kuliko kumpa kura Gwajima
Kweli ww ndiyo hazimo kabisa kwenye kichwa chako maana unaongea ugoro tu.
Kweli wale wa kule milembe wana akili machizi wapo huku.
 
Huu uchaguzi liwake mvua inyeshe jua!!!
Chadema ya sasa sio ya Lowassa

Na siku zote ukiona Mtu anasema kuwa Mtihani fulani alioufanya ulikuwa ni 'rahisi' sana Kwake basi tegemea 'Kufeli' Kwake vibaya Majibu yakitoka.
 
CCM watakupinga hapa lkn huo ndo ukweli mkuu ..ccm haijawa tayar kulichukua Jimbo la kawe ..Mdee ataendelea kuwa mbunge wa kawe mpk mtakapoamua rasmi
Hayo ni maono na mawazo ya kichwa chako kilichojaa maji.
October 28 tukutane hapa ili tukutoe hayo maji kwenye kichwa chako.
 
Kama Halima aliweza kumnyoosha Ritha Mlaki Kawe Gwajima ajiandae kuvuna aibu!!
Huyo alikuwa ni Ritha na huyu ni Gwajima mwanaume wa shoka na Mbunge mtarajiwa wa Kawe huwa hana maneno mengi zaidi ya vitendo na safari hii atawatoa makamasi ya kwenye makalio.
 
Mpuuzi sana huyu!! Nimempa hii isipomtosha nitampa ya Sindano kabisa Genta!!!

Naona bado 'anakushambulia' tu Mkuu, kama vipi Wewe 'niuzie' Mimi hii 'Kesi' nimalizane nae mapema tu hapa kwa 'Kumnyoosha' Kunakotukuka.
 
Embu endelea nae!! Lazima aombe upigwe ban maana kipigo Chako sidhani kama ataweza vumilia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom