Kwa nilichokishudia nitoe, Tahadhari kubwa kwa wenye magari

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,145
Reaction score
3,822
Naam nimeshachoka kuona gari zinakufa injini Kila siku gereji vijna mnapenda magari ila hamyajui mwisho yanawapa hasara

Sasa jirani yangu hapa ana Toyota Ist ina engine ya 1nz Bado mbichi tu no EG Gari ilikuwa inaenda kufa kizembe, juzi asubuhi Ile naamka niende kwenye mishe zangu nikaskia kawasha gari Yake ila Kuna kelele sio za kawaida nikawa naziskia yaani kama vyuma kwenye engine vinang`atana mean Kuna mahali kwenye engine oil ilikuwa haifiki

Nikamwambia zima hiyo gari haraka huo mlio sio sahihi, nikamuuliza umepima oil ipo kiwango Gani jibu hapana yaani kawasha tu anataka kuondoka

Kupima oil nikakuta ipo ila nyepesi mean inaonekana ilikuwa ni feki ikabidi nimuulize alibadili lini na wapi

Akasema alimpepekea fundi kariakoo fundi ndio akamuelekeza kwenye kiduka akanunue 5w 30 sh 50,000 na filter sh 10,000 nikasema kashehe hili umeona wapi oil og 50000 na hapo usikute inauzwa. 35000 fundi kala ganji 15000

Nikamwambia oil uliyowekewa ni feki filter nayo ni feki maana yake Kuna sehem injini haipati kilainishi ndio hivyo vyuma ndani Humo vinalia krrrrrrrriii nikamuelekeza sehem 3 zenye oil og na Lita 5 ni 170,000 Hadi 135,000 kwa Lita 4 nikamwambia nenda sheli iwe puma,Total,Branch za Atlantic au Liqui moil mikocheni chukua moja kati ya hzo na iwe 5w 30 na oil filter akanunue Toyota genuine parts wenyewe na filter SI chini ya 35000 beba njoo na fundi akuwekee

Baada ya kufuata hayo maelekezo injini ule mlio ukapotea Moja Kwa Moja maana yake kama sio kumshtua alikuwa anaenda kulia na ndio vilio vingi sasa hivi mtu ana gari Bado mbichi anatafuta mswaki au anabadili injini mzima

Kwa sasa oil feki ni nyingi Kwa usalama wa gari yako acha kabisa kumwambia fundi niwekee oil wewe mafundi wamekuwa ni vibaka na hawajali gari ya mtu

Oil nenda kanunue mwenyewe Kwa wahusika wanaoaminika nadhani mnaona watu wa Mazda kila siku wanavyolia kilio kimehamia mpaka Subaru Forester na gari za ulaalya hazitaki vitu feki ukiweka kimiminika cha kuchovya tu umeisha
 
Walikamata kiwanda bubu cha oil fake wiki mbili zilizopita kariakoo ,hili swala kweli lipo .
Bongo michezo mingi sana
 
Hapo kuna tatizo la amana katika jamii.

Unaweza kusema oil uende kununua mwenyewe, na huko unakonunua ukapewa feki.
 
Elimu Bora kabisaaa hii bila malipo
 
Unaweza ukanunua Oil Genuine kama ulivyosema 5w30 lakini ikawa sio sahihi vile vile kwa gari yako. Hata 5w30 zina tofauti.

Zipo na chupa zimeandikwa cha muhim soma injini yako imeandikwaje ila hzo branch oil sio feki hapa tunapinga oil feki
 
Huwezi kwenda puma au Liqui wakupe oil feki nenda makao Yao sio madukani
Sasa hapo huoni ume solve issue moja tu ya oil.

Kwenye nchi iliyo na tatizo la amana mpaka petroli utawekewa feki.

Sasa utadhibiti vipi vituo vyote vya petroli, kila siku?

Kuna tatizo deep la kiutamaduni, la amana, Wabongo wanapenda njia za mkato. Wengi hawathamini reputation.

Ukishakuwa katika jamii iliyo hivyo tu, kuna sehemu watakupata tu.

Wanaweza kukukosa kwenye oil wakakupata kwenye spare parts.

Wakikukosa kwenye spare parts watakubadilishia mileage unaponunua gari.

Wakikukosa kwenye mileage watakupata kwenye kuchakachua barabara, gari linaharibika mapema.

Naelewa unachofanya, una hoja muhimu, umemulika kitu kimoja muhimu, huwezi kumulika kila kitu kwa wakati mmoja, kwa hiyo nakushukuru, siku criticize.

Naonesha tatizo kubwa zaidi la kiutamaduni tu.

Bila ku solve tatizo la msingi la amana huku juu mnacheza tu.
 
Naam nimeshachoka kuona gari zinakufa injini Kila siku gereji vijna mnapenda magari ila hamyajui mwisho yanawapa hasara

Sasa jirani yangu hapa ana Toyota Ist ina engine ya 1nz Bado mbichi tu no EG Gari ilikuwa inaenda kufa kizembe, juzi asubuhi Ile naamka niende kwenye mishe zangu nikaskia kawasha gari Yake ila Kuna kelele sio za kawaida nikawa naziskia yaani kama vyuma kwenye engine vinang`atana mean Kuna mahali kwenye engine oil ilikuwa haifiki

Nikamwambia zima hiyo gari haraka huo mlio sio sahihi, nikamuuliza umepima oil ipo kiwango Gani jibu hapana yaani kawasha tu anataka kuondoka

Kupima oil nikakuta ipo ila nyepesi mean inaonekana ilikuwa ni feki ikabidi nimuulize alibadili lini na wapi

Akasema alimpepekea fundi kariakoo fundi ndio akamuelekeza kwenye kiduka akanunue 5w 30 sh 50,000 na filter sh 10,000 nikasema kashehe hili umeona wapi oil og 50000 na hapo usikute inauzwa. 35000 fundi kala ganji 15000

Nikamwambia oil uliyowekewa ni feki filter nayo ni feki maana yake Kuna sehem injini haipati kilainishi ndio hivyo vyuma ndani Humo vinalia krrrrrrrriii nikamuelekeza sehem 3 zenye oil og na Lita 5 ni 170,000 Hadi 135,000 kwa Lita 4 nikamwambia nenda sheli iwe puma,Total,Branch za Atlantic au Liqui moil mikocheni chukua moja kati ya hzo na iwe 5w 30 na oil filter akanunue Toyota genuine parts wenyewe na filter SI chini ya 35000 beba njoo na fundi akuwekee

Baada ya kufuata hayo maelekezo injini ule mlio ukapotea Moja Kwa Moja maana yake kama sio kumshtua alikuwa anaenda kulia na ndio vilio vingi sasa hivi mtu ana gari Bado mbichi anatafuta mswaki au anabadili injini mzima

Kwa sasa oil feki ni nyingi Kwa usalama wa gari yako acha kabisa kumwambia fundi niwekee oil wewe mafundi wamekuwa ni vibaka na hawajali gari ya mtu

Oil nenda kanunue mwenyewe Kwa wahusika wanaoaminika nadhani mnaona watu wa Mazda kila siku wanavyolia kilio kimehamia mpaka Subaru Forester na gari za ulaalya hazitaki vitu feki ukiweka kimiminika cha kuchovya tu umeisha
Nashauri pia vijana kupima oil kunako 6x6.

Hakikisha oil ipo ya kutosha kabla hujachomeka funguo. 🙃🙃
 
Back
Top Bottom