Kwa nilichokishudia nitoe, Tahadhari kubwa kwa wenye magari

Zipo na chupa zimeandikwa cha muhim soma injini yako imeandikwaje ila hzo branch oil sio feki hapa tunapinga oil feki
Nishanunua oil fake kwenye kituo cha wahusika. Vituo ni vya watu binafsi. Kuna wasio waaminifu wanaleta mzigo wao. Sipendi kuwataja hapa. Nimetumia oil yao kwa muda ila ghafla oil ikawa inaisha kabla hata ya 2000km taa ya oil inawaka. Nikipima kweli oil iko chini na top up tena baada ya muda inawaka tena oil level nakuta chini. Nafanya service mchezo huo huo. Nikaacha kutumia oil yao sasa hivi gari ina 3600km na oil iko vizuri.
 

Ulinunua wapi ya sasa
 
Ni sawa na dawa fake, ni mauwaji!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…