SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi
Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali maana kavaa kwa staha halafu mrefu kajaza kama mwarabu hivi kanaoneka msomi maana mtulivu halafu ana aibu.
Nikajiuliza ile njemba imemtoa wapi hii mali nikasema hakuna mkate mgumu mbele ya pesa aloo vijana tafuteni sana hela