Kwa nilichokishuhudia hapa Lodge Ubungo wanaume Tafuteni sana hela

Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi

Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali maana kavaa kwa staha halafu mrefu kajaza kama mwarabu hivi kanaoneka msomi maana mtulivu halafu ana aibu.

Nikajiuliza ile njemba imemtoa wapi hii mali nikasema hakuna mkate mgumu mbele ya pesa aloo vijana tafuteni sana hela
Kwamba Wanaume tutafute pesa kwaajili ya NGONO.

Hebu kuwa siriazi japo kidogo tu
 
Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi

Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali maana kavaa kwa staha halafu mrefu kajaza kama mwarabu hivi kanaoneka msomi maana mtulivu halafu ana aibu.

Nikajiuliza ile njemba imemtoa wapi hii mali nikasema hakuna mkate mgumu mbele ya pesa aloo vijana tafuteni sana hela
Daah ndo mwonekano wa Shemeji yako huo!!

Maana hiz siku mbili tatu, kachange kiaina kisa Sina pesa kwasasa
 
Angejistiri angeenda huko? BASATA na BAKIZA naombeni mfanye marejeo ya hili Neno kujistiri ki maana( semantics) maana unasikia mtu kajistiri lakini tabia hata nguruwe anaogopa.
 
Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi

Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali maana kavaa kwa staha halafu mrefu kajaza kama mwarabu hivi kanaoneka msomi maana mtulivu halafu ana aibu.

Nikajiuliza ile njemba imemtoa wapi hii mali nikasema hakuna mkate mgumu mbele ya pesa aloo vijana tafuteni sana hela
 
Huwa nasemaga tu kwa nilichokishuhudia na sidanganyagi

Nimepitia hapa Ubungo nikasema nitafute lodge nipumzike mwenyewe tu mara Gafla kaingia jamaa mmoja mfupi kama nyundo ni balaa kachomekea tu smart yupo na binti mrefu Mashaallah yule kama sio mtoto wa kizanzibari basi kiiraq, au msomali maana kavaa kwa staha halafu mrefu kajaza kama mwarabu hivi kanaoneka msomi maana mtulivu halafu ana aibu.

Nikajiuliza ile njemba imemtoa wapi hii mali nikasema hakuna mkate mgumu mbele ya pesa aloo vijana tafuteni sana hela
Wengine hata hatujanywa hata chai wengine mshaenda lodge na mmesha ona wazinzi wakitia timu aloo
 
Back
Top Bottom