Kwa nilichokishuhudia hapa Lodge Ubungo wanaume Tafuteni sana hela

Ukiona unatafuta pesa kuwafurahisha wanawake ujue hauna akili.
Nyie ndiyo wale, akipata pesa anoa mke wa pili hapo hana gari, hana nyumba nzuri, hana biashara inayoeleweka.
 
Sasa blaza wewe mwenyewe umeenda kulala lodge tena ubungo kibangu huko halafu unatuambia tutafute hela. Acha zereu.
 
Kwaio tutafute pesa ili tutumie kwenye ngono!? Binti!
 
Uhandsome, urefu, wema na utanashati wako utakusaidia kupata mademu shule. Mapenzi ya dhati kwa mwanamke yanaishia shuleni. Akishaingia huku mtaani upendo wa dhati na muonekano wako sio determinant factors za kuingia kwenye mahusiano. Determinant factors kwake ni security yaani uwezo wa mwanaume ku-provide mahitaji yake.

Ukiwa katika mahusiano na mwanamke wakati bado haujasimama kifedha usijidanganye kwamba kakupenda na iyo hali yako. Ukweli ni kwamba katika point iyo ya maisha wewe ndio chaguo bora kwake. Washindani wako katika hayo mahusiano ni hopeless kabisa. Atakapotekea mshindani bora zaidi yako ndo utajua ujui.
 
Pesa haitafutwi kwaajili ya kuenjoy na malaya
 
Hahaha
 
Hela zinadundulizwa
Uzinzi huwezi kuweka hela wewe
Umewahukumu tu je kama ni mali yao hapo na wamekuja kukagua 😄
 
Kwahiyo watafute hela ili waoe au watafute pesa ili wafanye uzinzi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…