Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tatizo ni ulivyofunga dishDstv wametoka kustuck na 160 sasa hivi hapa. Naona ndo wamerudi
Hata Dstv walianza km Azam ,muda utaongeaa nao Azam watakuwa km Dstv na Dstv itakuwaa zaidi ya Azam n swala la mudaa.hata ww ufanani na jiran yako kimapato wala ulaji wako cha msingi kila mtu aplay nafac yake hapo alipo ss,,,DSTV +AZAM
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza ni dharau kubwa kufananisha DSTV na wengineDSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
mnafiki huyooo.leo umetoa uzigani wakuiponda ccm?unitag niusomeš¤£kwanza ni dharau kubwa kufananisha DSTV na wengine
Mi Azam nalipiaga kwa ajili ya NBC PL mengine ni utopoloDSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
We unalinganisha Washongton DC na temeke sterio[emoji16]Mi Azam nalipiaga kwa ajili ya NBC PL mengine ni utopolo
hata wakati mwngine mtandao unasumbuaga sembise azamu.DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.