Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Mbona zaman wazee hawakua na dini na bado walifanya ibada kumuomba Mungu? Unadhan walimjuaje?
Kuchinja ng'ombe mbuzi kuku kondoo milimani ndo kumjua Mungu. Hujaona wenzio juzi walimpelekea chatu maandazi na mbuzi ili awape mafanikio ndo Mungu sasa yule?
 
Ndo useme alimaanisha nini. Maan story ilianza tajiri aliktaa kuuza mali zake zote kuwagawia masikini ndo ikatolewa statement hyo tupe wewe meaning yako.
Tajiri na Mali zake ni yeye na Mali zake Ila haina maana kwamba Tajiri hamjui Mungu,
 
Na ndio maana Yesu aliwapiga dongo wanafunzi wake akawaambia kwa HERUFI kubwa 'KIPOFU HAWEZI KUMUONGOZA KIPOFU MWENZIE WOTE WATAINGIA SHIMONI'
Wewe nimegundua una chuki binafsi na dini sababu ulidhani ukisali utapata ela kumbe ni kwa kufanya kazi tu. Umeulizwa mbona Ruto alikuwa muimba kwaya?
 
Kabla ya dini ya Yesu Kristu, au kipindi Cha Yesu Kristu Yesu mwenyewe alikua anaabudu dini gani ?
Alikuwa mkristo maan aliandikwa toka mwanzo. Sasa unaulizaje swali hilo wakati Yesu nd alieumba hata huu ulimwengu.
 
Sasa imani ya upofu ndo imani gani hiyo. Yani uamini kitu ambacho hukijui halafu hata ukiwa unasoma usipopenda kujijumuisha na wenzio kudiscuss masomo yenu unaeza angukia pua tu.
Mwenzako form 1 mpaka Chuo kikuu nilikua nasoma pekea angu na nikatoboa kotee
 
Alikuwa mkristo maan aliandikwa toka mwanzo. Sasa unaulizaje swali hilo wakati Yesu nd alieumba hata huu ulimwengu.
Hakukua na dini ya ukristo toka yesu anakuja mpaka anasurubiwa.
Ukristo umeanza baada ya yesu kupaa...
 
Alikuwa mkristo maan aliandikwa toka mwanzo. Sasa unaulizaje swali hilo wakati Yesu nd alieumba hata huu ulimwengu.
Yaan umeingia Chaka la viboko utakula viboko na utaliwa na viboko,
 
Mbona unapotosha maneno. Kwahyo wewe kwako tajiri kutomsaidia masikini unaona ni sawa?
Soma vizuri nmeeleza visa kadhaa vilivyosimuliwa kwenye biblia yenyewe vya Tajiri kusaidia Masikini akiwemo Yesu mwenyewe ingawa wapo wanaposema Yesu hakua ametoka kwenye Familia au Ukoo masikini maana Ukoo wao ulikua ni Ukoo wa watu wenye ukwasi sio Ukoo wa makapuku na hakuzikwa kimasikini alizikwa kitajiri kiasi Cha kuwekewa walinzi wasije wakaiba maiti yake, huo ni zaidi ya utajiri
 
Wee ni fala ujue haya anguka tena pungulu au bangalaa litombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]
 
Wewe utakuwa unashinda kwenye vile vijiwe vya wavuta bangi ndo huwa wanatungaga story kwa kunyofoa nyofoa. Alitoka familia ya kimasikini ya mafundi seremala na nazareth hapakuwa town tofauti na yerusalem. Halafu hakuna sehem maandiko yamewakataa matajiri kwamba hawakusali jpo ilisema nin ngumu. Halafu waliolinda kabuli ni watu wa serikali ili asije akatoroka kuja kuwa tishio kwa ufalme wa herode. Yesu mwenyew alisema mnamfuata mwana wa adamu( akikijizungumzia) wakati hana hata pango la kujilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…