Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Mkuu samahani kama nimekwelewa vibaya, ina maana kitu pekee wakenya wako juu ya Tanzania, ni kingereza tu sio.Ujatembea KE wewe nenda Eldoret au Nairobi alaf waambie ni MTZ uone maneno ya shombo tulienda kipindi flani pale Nakumat Garille Supermarket Nairobi tukasema sisi ni from TZ aisee jamaa wakaanza kutushambulia "How come waTZ wanabonga kinge vzuri hivi?Nyie sio wa TZ wa TZ hawajui kinge"