Kweli kabisa unalinganisha Burundi na Tanzania. Kweli,is this a mind we need we Tanzanians? Yaani mimi huwa nalia kwa kuona baraka tulizojaliwa nazo watanzania. Madini ya kutosha,mistu,mbuga za wanyama,maziwa,mito,bahari,makabila mengi, human population kubwa,Amani na umoja. Hatuna ukabila bongo.
Vitu hivi vyoote kwa serikali ya kizalendo kama nchi za Asia yaan hususani Singapore, South Korea, China,India , Indonesia na kadhalika basi bongo angalau tungeifikia Indonesia au South Korea. Leo unalinganisha Tanzania na kijiwe cha kahawa[emoji15].
Linganisha basi hata na Qatar, Qatar kubwa,linganisha basi hat n Israel aaah Israel wanapewa na wadhungu. Basi linganisha na Hong Kong, ash hawa Wana technology. Basi linganisha na Kenya tuuu hapa Jirani.
Burundi......aaah bro umeniangusha chin pungulu nikaanguka tangara[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]