Sehemu nzuri ya kula bata hiyooo,,, huwa nakula maisha sana nikiwa Buja kwanza nikiwa na laki 5 kule ni kama milion kasoro lkn matumizi yanakalibiana
Maana bia yao maarufu amstel inauzwa faranga 2000/2500 usafiri wa town (daladala) bei ni ile ile faranga 500, vyumba vya kulala guest bei kuanzia faranga 15000 hii ni self
Kilo ya nyama (kitimoto) bei ni ile ile faranga 10,000/- kama ni mtu wa mademu ukiwa bar zao bei ni ile ile kama bongo,, japo kwa Burundi kutumia takeaway upende ww maana shobo kwa wabongo ni wazi wazi
Mm naibukaga chuo kikuu chao na bahati nzuri nafikiaga Kamenge pale bar kumtwenzi ni karibu kabisa tax nenda rudi ni faranga 10,000 tu pale wanakitivo cha Kiswahili kuna jamaa angu pale ni mtu wa Muyunga anajua kidogo kiswahili
Kwaiyo huwa najiongeresha tu Kiswahili utasikia watoto wa kitusi "alimtanzania" nikushika tu mkono na kupeleka kiwanja,, t*mba sana sema wana maji kama Bukoba tu,,
Japo wanatuogopa kuhusu ufilauni,, neno kwa mpalange wanalijua sana,, na ukiwa nae kwa sex anakutahadharisha kabisa usinifanyie vileeeee
Ukiwa Bujumbura jitahidi kidogo kukaa sehemu za kishua utajihisi tu kama upo Mwanza ama Arusha umasikin hautauona sana, ila ukiwa maeneo ya changanyikeni kiukweli panatisha omba omba ni wengi sana
Kuhusu suala la fursa za kibiashara zipo sana changamoto ni money exchange,, benki za Burundi hazina dola, bahati mbaya hela yao haitamburiki pia kwenye mabenki yetu ukiwa na faranga huwezi kuibadilisha benki yoyote nchini
Kwaiyo inabidi uibadirishie mitaani kwa watu ambapo faranga 3700 unapewa dola moja, hii inaumiza kidogo niliwahi kupeleka bidhaa nikaishia siku hiyo hiyo na baadhi ya fedha nikailia bata pale Kamenge