Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

Hakukua na dini ya ukristo toka yesu anakuja mpaka anasurubiwa.
Ukristo umeanza baada ya yesu kupaa...
Halafu hii hoja yako ni mfu dini ni mfumo wa maisha na sio jina( ndo maan ulikuwa unasoma peke ako darasani).kwahyo kwasababu zamani watu walikuwa wanaita siku ya kwanza mpaka ya 7 kwenye wiki na sio jumapili mpaka jumamosi wewe utasema kuwa siku hazikuepo sio?
 
Sawa pastor tumekusikia[emoji3]
 
Sawa pastor tumekusikia[emoji3]
Mimi nachukizwa sana na swala la waafrica kutafuta mwavuli wa kufichia umasikini wetu wakati kila mtu anajua tatizo liko wapi. Sasa mtu anakuja anaropoka dini ukimuuliza ni kwa fact gani utasikia watu wanasali muda ote. Hii hii nchi watu wana michepuko ya kutosha kuna walevi wa kutosha ila mtu anakuambia dini. Masikini mwenyewa kanisani anatoa sadaka buku mbili kwa wiki ambayo kwa mwaka haifikia hata laki na 20 ila utasikia dini imenifirisi.
 
Mh labda hao ni walugaluga tu
 
Ingekuwa vizuri Sana tungekuwa tunafanya student exchange na nchi hizo masikini kuliko Sisi ili vijana waache kulalamika waone fursa au kushukuru Tu wamezaliwa Tanzania
Tubadilishane mademu pia [emoji17]
 
Nairobi hata mjini hali mbaya tu. Majority wamepanga kwenye majengo ya matajiri wachache... hali ni ngumu mno Nairobi. Watu wanashindia mikate. Mkenya ukimnunulia pilau anashangaa mno.
Yeah, tunashindia sandwich 🥪, mayai boilo na sausage 😁
 
Nigeria itoe hapo weka Dakar pale ongeza Mauritius, Cape Verde na Sao Tome & Principe.
Nigeria kuzuri Abuja tu.
 
Ingekuwa vizuri Sana tungekuwa tunafanya student exchange na nchi hizo masikini kuliko Sisi ili vijana waache kulalamika waone fursa au kushukuru Tu wamezaliwa Tanzania
Kuna NGO ilikua inafanya. Sema za Afrika ilikua chache na ilikua Ghana, Mozambique na SA.
 
aisee
 
Siwezi kuishi Nigeria ni hovyo tuu ,South Africa hakuna usalama hata Kwa bunduk hunipelekeki..

Bongo sio pa kuhama
 
Nita kutafuta mkuu ,nimetamani kwenda huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…