Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

"Pamoja na yote BURUNDI wanazaliana balaa sio ajabu kukuta Mzee anawake wawili na kila Mke anawatoto 10+ nafkir ni kwasababuSTAREHE YA MASKINI NI KUDINYANA" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mafundisho ya dini hizi kuu mbili kwa Afrika na huko kwenye asili je ni tofauti, kupitia hii hii dini kwann wao sio masikini. Dini ni ya kusingiwa tu tatizo la umasikini ni matokeo ya mfumo mbovu wa malezi yetu waafrika.
 
Hao wasomal wasomali huwa na akili nje ya nchi yao
 
Hao wasomal wasomali huwa na akili nje ya nchi yao
 
Nchi ya waafrika weusi yenye ufadhali angalau ni South Africa, lakini zote za kiafrika maisha ufanana
 
Daaah mkuu hii sijawahi kusikia mimi kweli hapa ni maarifa naweza pata source ya historia kama hizi mkuu?
Wewe hujasoma historia ya Africa, are you serious? Ndiyo maana wasomi wanasema siku zote achaneni na hizi dini za kuletewa maana zinawaharibu Waafrika akili kuaminishwa vitu visivyo na vichwa na kudharau historia yetu.
 
Kuna watu misukule utawasikia wakisema heti mimi sina dini lakini na muomba Mungu,swali bila dini Mungu unge mjuaje?
Sikushangai watu wanaojifanya wako deep kwenye Dini waga wana uelewa mdogo sana wa mambo mbali mbali achilia mbali uwezo wa kung'amua vitu

Wewe ndio msukule namba moja usiejua kutofautisha Dini na Imani, ata Abraham hakuwa na Dini bali alikuwa na Imani

Kwahiyo mtu anaweza asiwe mfuasi wa Dini yoyote ile na akawa anaamini katika Mungu Kwa sababu ana Imani
 
Nchi ya waafrika weusi yenye ufadhali angalau ni South Africa, lakini zote za kiafrika maisha ufanana
Hao wasouth nao ni mfumo tu wamekuta uko imara, hao ndo wanahussle ile mbaya saivi, ndo maana saivi ni ngumu kukuta mtu anazamia south.
 
Hahahahaaa,umenikumbusha,jana nilikuwa na mgeni wangu,Mr mousa kutoka Bangui.anasema kwao ni balaa,kuna ndege hizi za kirusi sukoi,zinashuka uwanjani kwa kutumia tochi, uwanjani hakuna taa,ndege ikikaribia mtu anawasha tochi kubwa na kutoa ishara. Nilicheka na kushangaa sana.
 
Yesu hakuwa Mkriso bali alikuwa Kristo. Hakuwahi kusali kanisani, alikuwa Myahudi kwa dini na alikuwa akilisali Mahekaluni na Masinagogi ya Wayahudi.
Nakubaliana na wewe hakukua na dini inaitwa ukristo kabisaa.Hiz ni mambo tukajianzishia wenyewe tu.Kulikua na wafuasi wa kristo so hata leo wanaweza wakawepo wafuas wa kristo na wasiambatane na ma kanuni ya hii dini
 

FYI East Africa inacuhumi mkubwa kuliko block yeyote in the Sub-Saharan Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…