Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasomali huwa na akili nje ya nchi yaoTanzania ni Nchi nzuri kushinda Nchi kibao hapa Afrika sio Burundi pekee..
Shida ya hao Jamaa wa Burundi ni kama Waha ubishi hawawezi kusikilizana ndio maana unaona Kila siku ni kupinduana..
Japo komesha ya ubishi ni Wasomali ,Wana akili na wanafanya biashara wakubwa ila ujuaji mwingi.
wasomali huwa na akili nje ya nchi yaoTanzania ni Nchi nzuri kushinda Nchi kibao hapa Afrika sio Burundi pekee..
Shida ya hao Jamaa wa Burundi ni kama Waha ubishi hawawezi kusikilizana ndio maana unaona Kila siku ni kupinduana..
Japo komesha ya ubishi ni Wasomali ,Wana akili na wanafanya biashara wakubwa ila ujuaji mwingi.
Wewe hujasoma historia ya Africa, are you serious? Ndiyo maana wasomi wanasema siku zote achaneni na hizi dini za kuletewa maana zinawaharibu Waafrika akili kuaminishwa vitu visivyo na vichwa na kudharau historia yetu.Daaah mkuu hii sijawahi kusikia mimi kweli hapa ni maarifa naweza pata source ya historia kama hizi mkuu?
Narudia tena, hujasoma historia ya nchi yako au Afrika? Rudi shule please, vilaza kama nyinyi ni mtihani kwa taifa letu.Toa facts
Sikushangai watu wanaojifanya wako deep kwenye Dini waga wana uelewa mdogo sana wa mambo mbali mbali achilia mbali uwezo wa kung'amua vituKuna watu misukule utawasikia wakisema heti mimi sina dini lakini na muomba Mungu,swali bila dini Mungu unge mjuaje?
Hao wasouth nao ni mfumo tu wamekuta uko imara, hao ndo wanahussle ile mbaya saivi, ndo maana saivi ni ngumu kukuta mtu anazamia south.Nchi ya waafrika weusi yenye ufadhali angalau ni South Africa, lakini zote za kiafrika maisha ufanana
Hahahahaaa,umenikumbusha,jana nilikuwa na mgeni wangu,Mr mousa kutoka Bangui.anasema kwao ni balaa,kuna ndege hizi za kirusi sukoi,zinashuka uwanjani kwa kutumia tochi, uwanjani hakuna taa,ndege ikikaribia mtu anawasha tochi kubwa na kutoa ishara. Nilicheka na kushangaa sana.Nchi nyingine nasikia ni masikini wa kutupwa ni central Africa. Hapo Bangui makao makuu ya nchi nasikia pako Kama chalinze. Unaambiwa huko watu wanakula kila mdudu Hadi vyura watu wanapita nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sijawahi fika mie nmesimuliwa tu.
Sio kweli,Izo chai sasa..Fika ushuhudie hata mm naskia Zambia Lusaka ni kama Nyuyok ila siamini najitahidi kufika nijionee
Nakubaliana na wewe hakukua na dini inaitwa ukristo kabisaa.Hiz ni mambo tukajianzishia wenyewe tu.Kulikua na wafuasi wa kristo so hata leo wanaweza wakawepo wafuas wa kristo na wasiambatane na ma kanuni ya hii diniYesu hakuwa Mkriso bali alikuwa Kristo. Hakuwahi kusali kanisani, alikuwa Myahudi kwa dini na alikuwa akilisali Mahekaluni na Masinagogi ya Wayahudi.
Mkuu dar hii hii ya manzese,kigogo, tandale na mbagala au kuna nyingine?Msamehe bure huyo kwani hajatembea. Dar majiji mengi ya Afrika yakasome namba.
Wapi bhana barabara nzuri ni moja tu ile ya 4 ways.. thr rest ni hovyooo..Kuna Jiji linaitwa Kinshasa huko sio pa kitoto barabara zake bongo hakuna popote
Unaota kumbe..Ethiopia iizidi Kenya??Usisahau Ethiopia ni nchi ya nane kwa Uchumi Mkubwa barani Afrika ikiwa na Pato la Taifa la dola bilioni
72.5 kwa mwaka. Inaizidi hadi Kenya.
Ndio hio naizungumzia wapi bongo kuna 4 ways km Kinshasa ?Wapi bhana barabara nzuri ni moja tu ile ya 4 ways.. thr rest ni hovyooo..
Tele wanazamia kila sikuHao wasouth nao ni mfumo tu wamekuta uko imara, hao ndo wanahussle ile mbaya saivi, ndo maana saivi ni ngumu kukuta mtu anazamia south.
Kwa nachojua nchi za Africa ukitoa za west kido lakini huku East and centre Africa umasikini ni Mkubwa yaani hakuna wa kumcheka mwenzie hata hapa Tanzania umasikini ni Mkubwa Sana na unatisha as the same Kenya , Uganda, Burundi . Sudan nk msumbiji nk
Yaani Africa hasa watu weusi Maisha yetu hayana nafuu kwa wengi wetu , ndo maana huwezi. Kumjua Mtu mwenye Kazi au jobless hapa TANZANIA umasikini ni Mkubwa Sana . Tena Sana Uganda nimekaa nimejionea Maisha yao kenya Tz Sudan so msiseme Burundi mkasahau kuwa umasikini ni tatizo la nchi zetu zote