Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

-Askari ni wengi sana.
-Kuna bwalo la jeshi usiku watu wengi sana kuna mpaka swiming pool.
-Kiriri garden ndio 5 star hotel.
-Kuna hoteli nzuri za Martha, na la Chandilier mjini kati.
-Uvira ya Drc Congo ipo jirani kabisa na Bunjumbura.
-Kwenda Bukavu kupitia Ziwa Kivu hadi Goma kutokea Bujumbura/Uvira ni karibu kama hutapitia Rwanda.
-Watusi 5%, Twa 1% na Wahutu 94%.
-Kiwanja chao cha ndege kinazidiwa mbali sana na Mwanza, sembuse KIA au JNIA.
-Mademu wafupi, sura ngumu isipokuwa few wasupu ambao ni Watusi.
-Probox kama zote.
-Umaskini upo sana, bongo tupo juu.

My Take.

Rwanda ipo njema, watoto kama wote yaani.
Mshana Jr na akienda huko harudi tena huko Bongo.
 
Huyo tajiri aliyemchukua yesu baada ya kufa alikuwa ni mwanafunzi wake,naye huyu alikuwa tajiri.Ukimuamini yesu sawasawa hauwez kuwa maskini,maana mojawapo ya sababu ya yeye kuja duniani ni kuchukua umaskini wetu Ili hali yeye alikuwa tajiri,na akatupa utajiri wake
 
Maji pia shida
 
Duuuh
 
Jamani RWANDA is OVERRATED...
Tanzania ni babalao Eaplst Africa
 
"Vilevile Ukitembea jiji zima hakuna nyumba
iliotengenezwa kwa Tofali za Block..ni mwendo wa
(Tofali za Choma)"

Hapa umeongea usichokijua au umekaririshwa.

Tofali linadumu kupita block, fuatilia majengo ya Wamisionari hapa nchi utagundua kitu.
 
Mbongo hajawahi kuwa na jicho la kuona fursa. Hata akienda Madagascar hapo atarudi na story Wanawake wa kule wana makalio madogo.
 
Security wise ndiyo shida kubwa, Burundi hakuaminiki, ningeshauri Tanzania na Burundi wakae pamoja, jeshi la Burundi nusu lije Tanzania kwa mafunzo ya uzalendo, na jeshi la Jwtz lijazie, liende Burundi kuwe na rotations, msingi mkuu wa maendeleo ni AMANI.
Burundi ni ya kusaidiwa, amani ikiwepo ya uhakika, Burundi itakuwa na neema ya ajabu, na wawekezaji watafurika.
 
Kenge ilitaka kutuingiza Mkenge.
Jamaa yuko sahihi acheni kuamini kila mnachokuta google. leo asubuhi natoka kuchati na MTZ alieko huko kasema kwa sasa Ths 10,000 ni sawa na Bif 30,000. maana yake hapi ni buku kwa buku tatu
 
dini zimeleta umasikini mkubwa Afrika, anayebisha abishe kwa hoja,twende kazi!
 
Wewe hapo ulipo huna dini unamiliki nini katika mali?
hana dini ila ana imani. Haamini dini zenu za kuwafanya watu washinde ibadani,anaimani ya kutafuta mali kwa bidii sio yenu ukitaka kuwa tajiri uongeze maombi, tofautisha dini na imani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…