Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

Maendeleo hayana vyama ila ajabu watu wanachagua vyama badala ya kuchagua watu.
 


Weka ushahidi wa mafuriko

Madaraja yote yamebomoka, okay weka matatu tuyaone!
 
KWENYE SIASA, HUYO NDO SURA YA MWISHO, TUNAENZELEA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO.....M/KITI CCM MARA WAS CLEAR
 
Kwani lazima awe mbunge? Si ajiajiri kama wanavyotushauri kila siku! Ila Ccm ya Jiwe ikiamua itampitisha hata kama akikataliwa na wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana anataka kurudi kwao maisha ya Ukonga yamemshinda
 
Labd Labda achaguliwe Tena na chadema,Ila huko ccm atatemwa awali kwenye kura za maoni.atafute biashara au kazi nyingine October 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…