Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

Maendeleo hayana vyama ila ajabu watu wanachagua vyama badala ya kuchagua watu.
 
Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla.

Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake ukonga.

Leo nimepita Kilunguni A hali ni mbaya sana na inadaiwa jana maji ya mafuriko yameuwa wapiga kura wa Mwita Waitara watatu.

Niishie hapo sijui Chadema walimtoa wapi huyu huyu jamaa.......or sorry CCM.

Maendeleo hayana vyama!

Weka ushahidi wa mafuriko

Madaraja yote yamebomoka, okay weka matatu tuyaone!
 
KWENYE SIASA, HUYO NDO SURA YA MWISHO, TUNAENZELEA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO.....M/KITI CCM MARA WAS CLEAR
 
Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla.

Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga.

Leo nimepita Kilunguni A hali ni mbaya sana na inadaiwa jana maji ya mafuriko yameua wapiga kura wa Mwita Waitara watatu.

Niishie hapo sijui Chadema walimtoa wapi huyu huyu jamaa.......or sorry CCM.

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo maana anataka kurudi kwao maisha ya Ukonga yamemshinda
 
Labd
Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla.

Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga.

Leo nimepita Kilunguni A hali ni mbaya sana na inadaiwa jana maji ya mafuriko yameua wapiga kura wa Mwita Waitara watatu.

Niishie hapo sijui Chadema walimtoa wapi huyu huyu jamaa.......or sorry CCM.

Maendeleo hayana vyama!
Labda achaguliwe Tena na chadema,Ila huko ccm atatemwa awali kwenye kura za maoni.atafute biashara au kazi nyingine October 2020
 
Back
Top Bottom