johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Anza kwanza kuhoji matumizi ya kodi yako inayotafunwa kama ruzuku hapo Ufipa.wananchi wa kawaida tunayajadili haya kwasababu sisi ndiyo walipa kodi,
KUB atatimiza wajibu wake kama KUB.
Hivi mnadhani watanzani wote ni mburula kama watoto wenu mnaowasomesha kwa malipo mnayopata hapo Lumumba??
Anza kufagia chumbani bwashee kama kweli una nguvu ya kushika " mfagio"
Sumu haionjwi by Frederick Sumaye