Kwa niliyoyashuhudia ibadani Kenya ni sahihi kabisa alichofanya Rais Magufuli kuzuia mikutano holela ya kisiasa hadi wakati wa kampeni

Kwa niliyoyashuhudia ibadani Kenya ni sahihi kabisa alichofanya Rais Magufuli kuzuia mikutano holela ya kisiasa hadi wakati wa kampeni

Huu Nao Siyo Ukweli
Mbona Pole Pole Yupo Majukwaani Daily
Huko Kesho Nadhani Utakuwa Hujafika Uzuri Wakenya Wapo Humu Jukwaani
Polepole anakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ule siyo mkutano holela.

Hata Sugu pale Mbeya mjini anafanya mikutano daily!
 
Marekan wanajadili sana uchaguz ujao, uchumi wao umeanguka sana na wameshapitwa na Tanzania wanaojadil zaid maendeleo kuliko siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba umekosea kuandika ama umeandika sahihi malekani apitwe na Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana kabla ya Rais Magufuli siasa zilikua zinafanywa makanisani na misikitini hapa Tanzania? Tuanzie hapo, kwangu mm sina kumbukumbu kama Tanzania tuliwahi kufika huko, wakenya wana namna yao ya kufanya siasa tofauti na sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani utasema tumeanza kuishi awamu hii,wanatuona wajinga sana hawa!
 
vipi tukijadili ubovu wa barabara ya ngorongoro hifadhi inayoingizia taifa mapesa ya kutosha?

vipi tukijadili deni la taifa linalozidi kupaa kwa kasi ya 4G?
 
Prof Lipumba alikuwa anajifunza kareti kwenye nyumba za ibada labda wewe ulikuwa mdogo zama hizo!
Kwa comment hii tunahitaji zaidi elimu iboreshwe nchi hii kuliko kununua ndege!No wonder kuna aliwahi sema Rais wa Tz anaongoza maiti!
 
Kwa comment hii tunahitaji zaidi elimu iboreshwe nchi hii kuliko kununua ndege!No wonder kuna aliwahi sema Rais wa Tz anaongoza maiti!
Sasa kujifungia ndani ya lile banda pale Ufipa ni kama tu mpo kaburini!

Tena lile la Dr Mwandulami pale Mtwango - Njombe.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Polepole anakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ule siyo mkutano holela.

Hata Sugu pale Mbeya mjini anafanya mikutano daily!
So mnatumia kivuli hicho kufanya mikutano ya kisiasa huku wengine mkiwanyima kisa hawaongozi nchi!Hizi akili za wapi?Chama ambacho hakina wawakilishi kinatafuta vipi wanachama?Msitufanye wajinga!Sema mtu wenu ana shida na kukosolewa,yaani ukimkosoa anaona ni kama umemshika kalio!
 
Sasa kujifungia ndani ya lile banda pale Ufipa ni kama tu mpo kaburini!

Tena lile la Dr Mwandulami pale Mtwango - Njombe.
Sasa hapa umeeleweka,ni ule mwendelezo wa wanywa maji ya kijani kuleta propaganda mfu!
Koma bwashee!
 
vipi tukijadili ubovu wa barabara ya ngorongoro hifadhi inayoingizia taifa mapesa ya kutosha?

vipi tukijadili deni la taifa linalozidi kupaa kwa kasi ya 4G?
Ndio maana mnaye KUB yeye ana nguvu ya kikanuni kuongea direct na waziri husika kuhusu ubovu wa barabara yoyote nchini.

Unapaswa kuyajadili matunda yatokanayo na kupaa kwa deni la taifa ambayo yanaonekana, na hilo hakuna aliyekukataza.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Magu mwenyewe siasa ndo iliyomwingiza madarakani, vipi baada ya kuingia ndo aone haifai, tusichanganyane asubuhi yote hii...
 
Sasa hapa umeeleweka,ni ule mwendelezo wa wanywa maji ya kijani kuleta propaganda mfu!
Koma bwashee!
Hahahaaaa....... mimi nimekubaliana na hoja yako ya uwepo wa mizoga huko kinondoni shamba!
 
Ndio maana mnaye KUB yeye ana nguvu ya kikanuni kuongea direct na waziri husika kuhusu ubovu wa barabara yoyote nchini.

Unapaswa kuyajadili matunda yatokanayo na kupaa kwa deni la taifa ambayo yanaonekana, na hilo hakuna aliyekukataza.
wananchi wa kawaida tunayajadili haya kwasababu sisi ndiyo walipa kodi,

KUB atatimiza wajibu wake kama KUB.

Hivi mnadhani watanzani wote ni mburula kama watoto wenu mnaowasomesha kwa malipo mnayopata hapo Lumumba??
 
Magu mwenyewe siasa ndo iliyomwingiza madarakani, vipi baada ya kuingia ndo aone haifai, tusichanganyane asubuhi yote hii...
Magufuli alifanya Siasa kabla ya kampeni bwashee?

Aliyefanya Siasa kabla ya kampeni alikatwa na kukimbilia Chadema!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa.

Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi.

Nilimouliza mwenyeji wangu uchaguzi wanafanya lini, akaniambia ni mwaka 2022 na kwamba Kenya nzima hata shughuli za uchumi zimerora kwa sababu kila kona mawazo ya watu yametawaliwa na mijadala ya uchaguzi.

Ndiposa nikaikumbuka marufuku ya Rais Magufuli kule nyumbani kwamba mikutano ya kisiasa ibakie majimboni tu tena ikihusu shughuli za maendeleo chini ya wabunge na madiwani husika tu, na kwamba mikutano mingine ya akina Polepole wa CCM na Tumaini Makene wa Chadema isubiri wakati wa kampeni.

Rais Magufuli alifanya maamuzi sahihi kabisa.

Niko njiani narudi nyumbani Tanzania, Mniombee tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Kamwambie mama ako akuombee sisi hatuna huo muda mchafu.

Pumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom