Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kazi zenu ni kupiga propaganda..Hujasoma kwamba " wenyeji" wameniambia Kenya nzima hali ndio hiyo?
Usisome kwa kukariri.....Jaribu kusoma kwa kuelewa bwashee!
Polepole anakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ule siyo mkutano holela.Huu Nao Siyo Ukweli
Mbona Pole Pole Yupo Majukwaani Daily
Huko Kesho Nadhani Utakuwa Hujafika Uzuri Wakenya Wapo Humu Jukwaani
Hahahaaaa.......... Ibada ni muhimu bwashee!Ok, angalau umefanikiwa kuliambia jukwaa ulikua Kenya, nimeielewa sana hii njia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba umekosea kuandika ama umeandika sahihi malekani apitwe na Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marekan wanajadili sana uchaguz ujao, uchumi wao umeanguka sana na wameshapitwa na Tanzania wanaojadil zaid maendeleo kuliko siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani utasema tumeanza kuishi awamu hii,wanatuona wajinga sana hawa!Ina maana kabla ya Rais Magufuli siasa zilikua zinafanywa makanisani na misikitini hapa Tanzania? Tuanzie hapo, kwangu mm sina kumbukumbu kama Tanzania tuliwahi kufika huko, wakenya wana namna yao ya kufanya siasa tofauti na sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa comment hii tunahitaji zaidi elimu iboreshwe nchi hii kuliko kununua ndege!No wonder kuna aliwahi sema Rais wa Tz anaongoza maiti!Prof Lipumba alikuwa anajifunza kareti kwenye nyumba za ibada labda wewe ulikuwa mdogo zama hizo!
Sasa kujifungia ndani ya lile banda pale Ufipa ni kama tu mpo kaburini!Kwa comment hii tunahitaji zaidi elimu iboreshwe nchi hii kuliko kununua ndege!No wonder kuna aliwahi sema Rais wa Tz anaongoza maiti!
So mnatumia kivuli hicho kufanya mikutano ya kisiasa huku wengine mkiwanyima kisa hawaongozi nchi!Hizi akili za wapi?Chama ambacho hakina wawakilishi kinatafuta vipi wanachama?Msitufanye wajinga!Sema mtu wenu ana shida na kukosolewa,yaani ukimkosoa anaona ni kama umemshika kalio!Polepole anakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ule siyo mkutano holela.
Hata Sugu pale Mbeya mjini anafanya mikutano daily!
Sadaka ni siri bwashee!Wewe buku Saba sadaka ulitoa sh ngapi maana Jana sidhani Kama ulipokea buku Saba yako umumba
Sasa hapa umeeleweka,ni ule mwendelezo wa wanywa maji ya kijani kuleta propaganda mfu!Sasa kujifungia ndani ya lile banda pale Ufipa ni kama tu mpo kaburini!
Tena lile la Dr Mwandulami pale Mtwango - Njombe.
Ndio maana mnaye KUB yeye ana nguvu ya kikanuni kuongea direct na waziri husika kuhusu ubovu wa barabara yoyote nchini.vipi tukijadili ubovu wa barabara ya ngorongoro hifadhi inayoingizia taifa mapesa ya kutosha?
vipi tukijadili deni la taifa linalozidi kupaa kwa kasi ya 4G?
Hahahaaaa....... mimi nimekubaliana na hoja yako ya uwepo wa mizoga huko kinondoni shamba!Sasa hapa umeeleweka,ni ule mwendelezo wa wanywa maji ya kijani kuleta propaganda mfu!
Koma bwashee!
wananchi wa kawaida tunayajadili haya kwasababu sisi ndiyo walipa kodi,Ndio maana mnaye KUB yeye ana nguvu ya kikanuni kuongea direct na waziri husika kuhusu ubovu wa barabara yoyote nchini.
Unapaswa kuyajadili matunda yatokanayo na kupaa kwa deni la taifa ambayo yanaonekana, na hilo hakuna aliyekukataza.
Magufuli alifanya Siasa kabla ya kampeni bwashee?Magu mwenyewe siasa ndo iliyomwingiza madarakani, vipi baada ya kuingia ndo aone haifai, tusichanganyane asubuhi yote hii...
Kamwambie mama ako akuombee sisi hatuna huo muda mchafu.Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa.
Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi.
Nilimouliza mwenyeji wangu uchaguzi wanafanya lini, akaniambia ni mwaka 2022 na kwamba Kenya nzima hata shughuli za uchumi zimerora kwa sababu kila kona mawazo ya watu yametawaliwa na mijadala ya uchaguzi.
Ndiposa nikaikumbuka marufuku ya Rais Magufuli kule nyumbani kwamba mikutano ya kisiasa ibakie majimboni tu tena ikihusu shughuli za maendeleo chini ya wabunge na madiwani husika tu, na kwamba mikutano mingine ya akina Polepole wa CCM na Tumaini Makene wa Chadema isubiri wakati wa kampeni.
Rais Magufuli alifanya maamuzi sahihi kabisa.
Niko njiani narudi nyumbani Tanzania, Mniombee tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!