Kwa niliyoyashuhudia leo asubuhi, nakazia kusema kuwa Daladala ni usafiri wa maskini kutoka na watu wasiostaarabika

Kwa niliyoyashuhudia leo asubuhi, nakazia kusema kuwa Daladala ni usafiri wa maskini kutoka na watu wasiostaarabika

Ukweli mchungu huu wakikubishia ni ile sababu tu wabongo wabishi. Ila usafiri wa uma bongo ni tatizo sio mwendokasi sio kawaida.

Huwa nikipanda daladala lazima nifike viatu vimechafuka kwa kukanyagana bado joto la msongamano na hujakaa karibu na mtu mlevi au hajaoga kwa muda ni kero sana.

Nawahurumiaga ndugu zangu wa mwendokasi Kimara/Mbezi ile shughuli yake huna haja ya kwenda gym kama wewe ni mdau wa mwendokasi.
 
Yamkini uliyozungumza ni kweli, tatizo sio usafiri wa umma, shinda ni uchache wa hizo gari, angalia mwendo kas kinara ni tafran tupu
 
Kuna wakati ni heri mtu kuwa na pikipiki yako kuliko kukanyagana kwenye usafiri wa umma. Shida ya hizo pikipiki ni kufa anytime...
Kipi bora, kufa au kukanyagwa??
 
Nakumbuka filamu moja niliiona zamani
Yule jamaa,mwafromarekani,mwizi wa magari amekwenda kununua gari.
Wakamwonesha gari moja safi,akaulizwa,wakati mikoni yake iko kwenye usukani, akaulizwa,"What do you think about the car?"
Akasema,"I love the price.",halafu,huyooo,akakoleza gari moto akaondoka nalo. Wakaanza kumfukuza.
Sasa wewe,watu wanapata usafiri wa bei nafui,ambao ndani mule unaweza kupata girlfriend,wewe una complain.
 
Watu siyo waastarabu wanagombania,wanajazana
Kama mafurushi
Huu usafiri mfano wa BRT ukipangwa vizuri,uwingi wa msgari watu wengi watakuwa wanautumia na kupaki magari
Ukija nao wamkliki wa magari binafsi huko Road nao wanaendesha kama vichaa tu

Ova
 
Hilo umelijua leo? Yaani hata kulipa nauli sh 600 au 1000 ni umaskini ulikithiri mikoani hakuna nauli za hivyo.
 
Back
Top Bottom