Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BRT hizi hizi za kama za kimara?Ngoja BRT zikamilike, watu wenye ufahamu watapanda ili kuokoa muda
Kipi bora, kufa au kukanyagwa??Kuna wakati ni heri mtu kuwa na pikipiki yako kuliko kukanyagana kwenye usafiri wa umma. Shida ya hizo pikipiki ni kufa anytime...
Ndio maana tunakanyagana tu ili kuepuka yote hayo. Ila daladala na hasa Dar ni basi tu.Kipi bora, kufa au kukanyagwa??
Duh wengine mishahara ishaisha kumbe wengine ndio tarehe zao?? 😂😂Tarehe za mshahara zinakujaga na kiburi sana
Kuna njia mpya nyingi zinajengwa jiji lote, mabasi mapya ya umeme yanaletwa chini ya usimamizi mpya ukiboreshwa zaidi ya huu wa sasaBRT hizi hizi za kama za kimara?
Kwa post hizi kuna waliolipwa leoDuh wengine mishahara ishaisha kumbe wengine ndio tarehe zao?? 😂😂
Watukopeshe aiseeKwa post hizi kuna waliolipwa leo
Labda wewe...mimi akaaaaaWatukopeshe aisee