Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ni utamaduni wao, nasi tuna utamaduni wetu - Kenya tumewaacha mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.
Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.
NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.View attachment 2318361
Kwenye siasa Kenya wapo 450 maili ,Tanzania Meta 2
Lisu hana hata uwezo wowote! Mfano kwa upande wake anajua sheria tu na kujifanya mjuaji! Lakini kwa level yake kwa sasa hawezi tena kuwa Rais mpaka kufa kwake! Uchaguzi wa 2020 hakushinda hata kama CCM iliiba kula ila kiuhalisia Lisu hakushinda tuwe wakweli!So kenya uchaguzi ulikuwaje. Hiyo Tume ilikuwaje. Lissu atamchgua Nani wewe. Hata Leo agonbee hawezi kuwa Rais Labda wa CHadema.
CCM imejaa watu wakatili na wajeuri sana, wao wanalazimisha wahodhi nchi, CCM imetoka kuwa chama cha siasa na kuwa mtawala kuliko alivyokuwa mkoloni, mkoloni aliruhusu anaowatawala wadai haki zao lakini CCM haiwaruhusu wananchi wadai haki zao.Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo simamia uchaguzi.
Kwa hii NEC kuitoa CCM ni ndoto za mchana.
NEC haiwezi ruhusu Parallel tallying na hata CCM hawezi kubali NEC wafanye kitu kama hicho.View attachment 2318361
Sisa za kenya ni ukabila mtupuuu wala hakuna cha maana ... Wapo tusjinda labda ni tukio tu la uchaguzi na mchakato wake ...Kwenye siasa Kenya wapo 450 maili ,Tanzania Meta 2
Mazuzu yanaongoza maiti,Nchi inaongozwa na mazuzu unategemea nini, bongo tuna kila kitu cha kutufanya tuishi life nzuri kuliko hata US lakini tabu ni haya mazuzu ya CCM, unakopa dola bilion moja kujenga matundu ya choo sijui akili ya wapi hii?
Kwenye siasa Kenya wapo 450 maili ,Tanzania Meta 2
Kushiriki uchaguzi wa hapa Tanzania ambao rais anaweza kuamua nani atangazwe mshindi ni kupoteza muda tu. Bila machafuko tusitegemee box la kura kuheshimiwa tena. Nimeongea na kushawishi watu wengi kutokushiriki tena hizi chaguzi za kipuuzi, na kama ni mbinu mbadala bora machafuko yatokee ili tuheshimiane.
Ni kweli, katiba mpya itatupa tume huru.Kushiriki uchaguzi wa hapa Tanzania ambao rais anaweza kuamua nani atangazwe mshindi ni kupoteza muda tu