mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Wanajua ushabiki wa simba na yanga tuuShida CCM elimu hawana
Ubinafsi, umasikini unapelekea kujuana katika ajira, teuzi mwisho ni ubadhilifu wa pesa na matumizi mabaya ya madaraka.
Watanzania uoga ndio shida
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app