Kenya 2022 Kwa ninayoona tume ya Uchaguzi ya Kenya, basi sishauri sisi Wapinzani tushiriki Uchaguzi tena

Kenya 2022 General Election

Du kwani uchaguzi wa mwisho Kenya ilikuwaje, Nani aliuawa na ikawaje. Penda nchi yako. Hakuna tume huru Kenya.
 
So kenya uchaguzi ulikuwaje. Hiyo Tume ilikuwaje. Lissu atamchgua Nani wewe. Hata Leo agonbee hawezi kuwa Rais Labda wa CHadema.
Lisu hana hata uwezo wowote! Mfano kwa upande wake anajua sheria tu na kujifanya mjuaji! Lakini kwa level yake kwa sasa hawezi tena kuwa Rais mpaka kufa kwake! Uchaguzi wa 2020 hakushinda hata kama CCM iliiba kula ila kiuhalisia Lisu hakushinda tuwe wakweli!
 
Ccm oneni aibu basi yaani kila siku mnawaza Dhulmat tu!
 
Nchi inaongozwa na mazuzu unategemea nini, bongo tuna kila kitu cha kutufanya tuishi life nzuri kuliko hata US lakini tabu ni haya mazuzu ya CCM, unakopa dola bilion moja kujenga matundu ya choo sijui akili ya wapi hii?
 
Kenya wana matatizo lukuki kisiasa, kiuchumi, n.k. sema tu si wabwabwaji kama mtoa mada
 
Kazi ya kuyatoa haya mazuzu ni kubwa kuliko wakati wa kumuondoa mkoloni, nina imani yatatoka tuu na wizi wao
 
CCM imejaa watu wakatili na wajeuri sana, wao wanalazimisha wahodhi nchi, CCM imetoka kuwa chama cha siasa na kuwa mtawala kuliko alivyokuwa mkoloni, mkoloni aliruhusu anaowatawala wadai haki zao lakini CCM haiwaruhusu wananchi wadai haki zao.
 
Kwenye siasa Kenya wapo 450 maili ,Tanzania Meta 2
Sisa za kenya ni ukabila mtupuuu wala hakuna cha maana ... Wapo tusjinda labda ni tukio tu la uchaguzi na mchakato wake ...

Zingatia. SIASA sio uchaguzi
 
Sisa za kenya ni ukabila mtupuuu wala hakuna cha maana ... Wapo tusjinda labda ni tukio tu la uchaguzi na mchakato wake ...

Zingatia. SIASA sio uchaguzi
Tanzania hakuna ukabila? Acha kujipa moyo
 
Nchi inaongozwa na mazuzu unategemea nini, bongo tuna kila kitu cha kutufanya tuishi life nzuri kuliko hata US lakini tabu ni haya mazuzu ya CCM, unakopa dola bilion moja kujenga matundu ya choo sijui akili ya wapi hii?
Mazuzu yanaongoza maiti,
 

doooh
 
Shida CCM elimu hawana
Ubinafsi, umasikini unapelekea kujuana katika ajira, teuzi mwisho ni ubadhilifu wa pesa na matumizi mabaya ya madaraka.

Watanzania uoga ndio shida
 
Kushiriki uchaguzi wa hapa Tanzania ambao rais anaweza kuamua nani atangazwe mshindi ni kupoteza muda tu
Ni kweli, katiba mpya itatupa tume huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…