Kenya 2022 Kwa ninayoona tume ya Uchaguzi ya Kenya, basi sishauri sisi Wapinzani tushiriki Uchaguzi tena

Kenya 2022 General Election
Ukabila hata hapa upo japo hauwekwi wazi moja kwa moja. Hapa kwetu ujinga na ukondoo uliopo ni zaidi ya ukabila.
Sisi si ukabila tu na udini umeshamiri. We angalia dhehebu gani linalodhibiti Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…