Kwa nini Air Tanzania wasiboreshe uwekezaji ndani ya nchi kwa sasa?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu.

Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu ni wachache ukifananisha na nchi nyingine za Africa kama Ghana, Nigeria, Ethiopia nk

Lakini kitu kikubwa kuhusu Watanzania ni kwamba wanasafiri vibaya mno ndani ya nchi. Bongo unaweza ukaweka treni route mojawapo na bado mabasi yakawa yanajaa na kwenye treni watu wanajaa. Kama tu SGR ya Dar-Dodoma, ukichelewa tu kukata tiketi unakuta kila kona seat zimeshachukuliwa. Ndio sababu kwa nini Tanzania ina mabasi mazuri ya mikoani kuliko nchi nyingi tu Africa, nimeona wageni wakisifia mabasi Tanzania, ni kwa sababu movement za Watanzania ndani ya nchi ni kubwa mno

Sasa ATCL, kwani mkishusha gharama za usafiri wa ndege kutoka Dar kwenda mikoani zikawa hata laki laki tu, mna uhakika ndege zitakuwa hazijai?
Kwa nini msiboreshe huduma za usafiri ndani ya nchi halafu mkaweka bei ndogo muone mtakavyojaza ndege? Kama SGR train inajaa vile, nini kinashindikana kwa ndege

Jaribuni kushusha bei za ndege, kuongeza urahisi wa watu kukata tiketi ikiwezekana muwe hata mna advertise kwenye chaneli za Bongo, au kwenye league ya Tz tuone matangazo ya bei nafuu za Air Tanzania ili na sisi Airport zetu ziwe busy kama mataifa mengine
 
kwani mkishusha gharama za usafiri wa ndege kutoka Dar kwenda mikoani zikawa hata laki laki tu, mna uhakika ndege zitakuwa hazijai?

wanataka wasafiri wao kwa wao.
 
Wakitaka kujionesha kama high class wapande helicopter
Huku kwenye ndege wafanye jambo Watanzania wawe wanasafiri kwa ndege kwa wingi
 
Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu.

Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu ni wachache ukifananisha na nchi nyingine za Africa kama Ghana, Nigeria, Ethiopia nk

Lakini kitu kikubwa kuhusu Watanzania ni kwamba wanasafiri vibaya mno ndani ya nchi. Bongo unaweza ukaweka treni route mojawapo na bado mabasi yakawa yanajaa na kwenye treni watu wanajaa. Kama tu SGR ya Dar-Dodoma, ukichelewa tu kukata tiketi unakuta kila kona seat zimeshachukuliwa. Ndio sababu kwa nini Tanzania ina mabasi mazuri ya mikoani kuliko nchi nyingi tu Africa, nimeona wageni wakisifia mabasi Tanzania, ni kwa sababu movement za Watanzania ndani ya nchi ni kubwa mno

Sasa ATCL, kwani mkishusha gharama za usafiri wa ndege kutoka Dar kwenda mikoani zikawa hata laki laki tu, mna uhakika ndege zitakuwa hazijai?
Kwa nini msiboreshe huduma za usafiri ndani ya nchi halafu mkaweka bei ndogo muone mtakavyojaza ndege? Kama SGR train inajaa vile, nini kinashindikana kwa ndege

Jaribuni kushusha bei za ndege, kuongeza urahisi wa watu kukata tiketi ikiwezekana muwe hata mna advertise kwenye chaneli za Bongo, au kwenye league ya Tz tuone matangazo ya bei nafuu za Air Tanzania ili na sisi Airport zetu ziwe busy kama mataifa mengine
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 9
Walifanya fastjet wakaletewa zengwe....kifupi mtu mweusi huwa anafurahi kuona wengine wanateseka!
Kunakuwa hamna maana ya airport nzuri walizojenga mikoani kama muda wote zimepoa, hakuna u-busy
 
Back
Top Bottom