chanawalleti
Member
- Jul 16, 2016
- 49
- 45
Nafikiri kinachonenepesha ni misos inayoambatana na hzo arv..as navyofahamu watu wanaotumia arv huwa wanatakiwa kula special dietHizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa kuna kemikali zilizopo ndani yake? Na kwa nini hizi dawa unapoanza kutumia utaanza kuona maruweruwe na kuuchosha mwili ndani ya Wiki moja au mbili then zikiisha inakua kawaida kabisa hata ukimeza na pombe haidhuru wala kusikia chochote?
Maruweruwe?, wewe unazitumia?Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa kuna kemikali zilizopo ndani yake? Na kwa nini hizi dawa unapoanza kutumia utaanza kuona maruweruwe na kuuchosha mwili ndani ya Wiki moja au mbili then zikiisha inakua kawaida kabisa hata ukimeza na pombe haidhuru wala kusikia chochote?
Kwa iyo wanakula vizuri zaidiNafikiri kinachonenepesha ni misos inayoambatana na hzo arv..as navyofahamu watu wanaotumia arv huwa wanatakiwa kula special diet
Ndiyo wapi huko mkuu inamaana hawa wanaonenepa wanatumia dozi tofauti?Nenda kwenye jamii maskini uone dawa zinavyofanya waonekane kama wameko
maa (kudumaa)
Natumia mkuu na nipo freshKhah! manyota nyota au kaka mkubwa unazitumia?
Inamaana ukichanganya na bangi na pombe baada ya kuzoea dawa haina usumbufu?Natumia mkuu na nipo fresh
Yah..misupu na vitu kama hvyoKwa iyo wanakula vizuri zaidi
Bangi tena?Inamaana ukichanganya na bangi na pombe baada ya kuzoea dawa haina usumbufu?
atakua ana matatizo huyu siyo bureBangi tena?
Ashindwe Babiloni mkuu...atakua ana matatizo huyu siyo bure
Natumia mkuu na nipo fresh