chanawalleti
Member
- Jul 16, 2016
- 49
- 45
Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa kuna kemikali zilizopo ndani yake? Na kwa nini hizi dawa unapoanza kutumia utaanza kuona maruweruwe na kuuchosha mwili ndani ya Wiki moja au mbili then zikiisha inakua kawaida kabisa hata ukimeza na pombe haidhuru wala kusikia chochote?