Kwa nini ARVs zinanenepesha?

Kwa nini ARVs zinanenepesha?

chanawalleti

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
49
Reaction score
45
Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa kuna kemikali zilizopo ndani yake? Na kwa nini hizi dawa unapoanza kutumia utaanza kuona maruweruwe na kuuchosha mwili ndani ya Wiki moja au mbili then zikiisha inakua kawaida kabisa hata ukimeza na pombe haidhuru wala kusikia chochote?
 
Nafikiri kinachonenepesha ni misos inayoambatana na hzo arv..as navyofahamu watu wanaotumia arv huwa wanatakiwa kula special diet
 
Nenda kwenye jamii maskini uone dawa zinavyofanya waonekane kama wameko
maa (kudumaa)
 
Hizi dawa zimetengenezajwe maana mtu akianza kutumia mwili unabadilika gafla na kua mnene na kwa baadhi ya wanawake wanakua na makalio makubwa na hipsy? Pia kwa wanaume wanakua na kitambi je huwa kuna kemikali zilizopo ndani yake? Na kwa nini hizi dawa unapoanza kutumia utaanza kuona maruweruwe na kuuchosha mwili ndani ya Wiki moja au mbili then zikiisha inakua kawaida kabisa hata ukimeza na pombe haidhuru wala kusikia chochote?
Maruweruwe?, wewe unazitumia?
 
Back
Top Bottom