Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
AiseeSio kosa kisheria.
Kwasababu inawapa faraja na kuwapunguzia maumivu na makasiriko yao ya kiumaskini kwa muda.Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Kifo ni harusi ya mwisho, baadhi ya makabila ni wakati wa kusherehekea kwa kula, kunywa na kucheza ngoma usiku kucha.Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Vipi kuhusu tabia zetu tukiwa hai na kiburi cha uzima?Watanzania wengi roho zetu si nzuri
Labda waligusana mahali flaniWakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Bila kujali nafasi nguvu na ukwasi ulivyo navyo ishi vizuri na watu, watendee vema, wajali halafu wape heshimaWakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Huwa ni ujinga na kufuata mkumbo, hakuna sababu nyingine yenye mashiko.Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Sababu kubwa ni umaskini wa rohoWatanzania wengi roho zetu si nzuri
Hii sababu kabla ya kuitoa umeshirikisha ubongo wako ?Wakiwa kwenye pick hujiona wao ndio wao,acha wafe tufurahi mweee
Wajerumani wana neno "schadenfreude".Wakuu!