Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Hisia hazidanganyi ni just feedbackWatu wanalia wana sababu na watu ambao wanashangalia wana sababu pia. So tuheshimu hisia za watu
Hisia hazidanganyi ni just feedbackWatu wanalia wana sababu na watu ambao wanashangalia wana sababu pia. So tuheshimu hisia za watu
Kwani ni jinaiWakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
Uzi ufungweee!! 😂😂😂😂Inategemea na jinsi huyo marehemu alivyokuwa enzi za uhai wake, aliyagusa vipi maisha ya watu
CCM wana roho nzuri?Watanzania wengi roho zetu si nzuri