Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,837 Reaction score 17,496 Aug 7, 2025 #21 Atukuzwe Mungu said: Watu wanalia wana sababu na watu ambao wanashangalia wana sababu pia. So tuheshimu hisia za watu Click to expand... Hisia hazidanganyi ni just feedback
Atukuzwe Mungu said: Watu wanalia wana sababu na watu ambao wanashangalia wana sababu pia. So tuheshimu hisia za watu Click to expand... Hisia hazidanganyi ni just feedback
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,485 Reaction score 11,556 Aug 7, 2025 #22 Waufukweni said: Wakuu! Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia? Click to expand... Kwani ni jinai
Waufukweni said: Wakuu! Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia? Click to expand... Kwani ni jinai
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 7, 2025 #23 JUA ni Kali Sana said: Inategemea na jinsi huyo marehemu alivyokuwa enzi za uhai wake, aliyagusa vipi maisha ya watu Click to expand... Uzi ufungweee!! ππππ
JUA ni Kali Sana said: Inategemea na jinsi huyo marehemu alivyokuwa enzi za uhai wake, aliyagusa vipi maisha ya watu Click to expand... Uzi ufungweee!! ππππ
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,912 Reaction score 46,240 Aug 7, 2025 #24 duvet said: Watanzania wengi roho zetu si nzuri Click to expand... CCM wana roho nzuri?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 8, 2025 #25 Inashangaza sana