Sultankundi
Member
- May 10, 2023
- 26
- 37
Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia.
Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za familia zinadumu kwa Generation na generation. Hii nliyopitia internship ni kampuni ina miaka 30 sasa na bado ipo.
Biashara zao zinadumu kwa sababu zifuatazo.
1. Wana mipango mizuri ya Urithi (succession plans) mtoto atafanya internship kwake ataanza, ataanza kuambiwa kuhusu umuhim wa biashara yao mapema labda akiwa high school atakuwa anatembea na baba yake kwenye deals mbalimbali na kuanza kuhusishwa kwenye network pia.
2. Asili ya mfumo wa kampuni ulivyo (bongo kampuni nyingi ni sole proprietorship) mfumo huu si rafiki kwa kutengeneza biashara itakayo kaa miaka na miaka biashara nyingi kwa sababu unakuwa hauna mshirika na biashara ikifa inakufa mazima ambazo zinadumu huwa zipo katika mfumo wa ushirika either kuna partner au investor mwingine atakaekusaidia kuikuza kampuni.
3. Usiri mwingi nlishuhudia familia bongo mama alivyofariki ilikuwa ngumu kuendesha biashara kwa sababu hamna aliejua business model vizuri wateja wakuu zile ins and outs zote mwisho wa siku biashara ilidorora.
Hitimisho kwa wazazi ni vyema kubadilisha namna mnazofanya biashara tuige wahindi na watu kutoka asia na kwa watoto tujitahidi tujifunze kulinda biashara za wazew wetu kama ulisomeshwa kwa kuuza mchicha boresha weka packaging utume organic mchicha Uingereza. Ni hayo tu.