Sultankundi
Member
- May 10, 2023
- 26
- 37
- Thread starter
- #21
Asee nna kitu cha kujifunza kutoka kwenu tuna biashara pia ya ujenzi na usafi nkimaliza masomo narudi kuisimamiaKwa hilo waswahili mnafeli sana likiza suala la biashara za familia kwa sababu mna ubinafsi zaidi
Familia yangu ina biashara iliyoanzishwa na babu zetu ndugu watatu, na huku Baba akiwa na cousin zake
Biashara zimedumu huu ni mwaka wa 75 na vitukuu ndio wanaendesha kwa sasa maana hata sisi tumewaachia watoto
Tatizo lenu hamjiamini na wizi pia ushirikina mnauendekeza sana
Ukweli mswahili hapendi ila uongo anaupenda zaidi
Uaminifu ni zero kwa % kubwa sana awe ndugu au nani
Sielewi kwanini mtu ashindwe kuungana na ndugu kufanya la maana wakati wazungu ukimfanyia kazi miaka kadhaa anakuomba uingize hela upate share katika kampuni yake na hakujui