Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

Asee nna kitu cha kujifunza kutoka kwenu tuna biashara pia ya ujenzi na usafi nkimaliza masomo narudi kuisimamia
 
😂ninacheka ila ni jambo la kuhuzunisha na sababu yako ina mashiko pia kwa sababu si tatizo la tanzania tu
 
Uchoyo,ubinafsi kukosa maono ya muda ujao
 
Asee nna kitu cha kujifunza kutoka kwenu tuna biashara pia ya ujenzi na usafi nkimaliza masomo narudi kuisimamia
Hakikisha unaweka waaminifu tu
Hata ndugu mmoja akizingua muweke pembeni kwa maslaha ya biashara

Lazima ujue wanaoendelea walikuwa wanabana kila kona ili mtaji ukue

Biashara nyingi zinasaidia pia
Uwe na miradi unayoweza ku control
 
Yani ni yale mawazo ya "yani mim kupambana kote huku eti waje kufaidi wengine" mawazo ya ubinafsi yanatucost sana
 
Kwenye Internship yako umefanyia kaz PESTEL?
Lakini pia unajua ugumu wa kufanya biashara Africa mara nyingi ni namna nchi inavyoendesha mambo yake?

Vitu kama so many regulatory authority, tax policy na national investment policy.... Bomoa bomoa iliyopita kimara-Mbezi iliua biashara ngap?
 
Kuna issue watu hamsemi kuhusu ugumu wa biashara za kurithishana Africa, Africa wazee wetu wana watoto wengi sanaaa, plus extended family ya mawifi na wajomba na shangazi, baba ana kampuni yenye kuingiza 1B/ year ila ana watoto 10 kwa wake watatu, hao watoto wao mama zao automatic hawapatani, wanawajaza sumu watoto, bado siblings wa baba nao wanatamani mali unajikuta at the end kuendesha biashara kwa style hio ni ngumu, upinzani unakuwa mgumu mwisho inakufa, babake Mo ana watoto watatu tu, kina Asas wao walikuwa watatu pia inakuwa rahisi hata kuweka mgawanyo na kukuza kampuni
 
Ninyi waswaili wenzang ambao mume tu akiwa na utajiri na kumshirikisha mke mbinu zote basii kosa kubwa..mke atataka mume aage Dunia na mke Kwa kushirikiana na kaka zake ahamishie utajiri kwao ha ha ha...

Case study..Kuna mnyakyusa hapa kaoa mhaya ... biashara zimechanganya hapa mbeya ,,yule mke wa kihaya sijui katumia maarifa Gani mnyakyusa wa watu kaaga mechi😂😂😂 baada ya matanga hata mwenz haujapita nyumb ishapigwa bei na biashara zimehamishiwa bukoba ha ha haa..ndugu wa kinyaki walijaribu pambana zibaki mbeya wakafail..

Hvo wakuuu haya mamb wenzetu Asians na Arabs wanayaweza sabb kwanza wanaoana ndugu hvo hakuna hofu ya utajiri wao kutoka nje ya mifumo yao...asa ninyi mnaoana mtu wa kaskazin na WA kusini au wa Kanda ya ziwan na WA pwana oohh hapo lazima Kila mmoja avutie kwao..


Tukirud Kwa wachina aisee nimefanya nao kazi wao wanaoana kooo Moja nje ya koo hyo hawapeani hata Salam..yaan wote WAchina but sabb sio Koo Moja hata Salam hakuna..ww mbongo usiewajua utaona wote WAchina kumbe wanabaguana hatari...so sabb kuu ya kuweza kurisishana hzo business inaanza na hapo kwenye kuoana.. unaoana na nani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…