Kwa nini Bibi Titi Mohamed ameenziwa na serikali wakati alikuwa mhaini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970.

Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake na viongozi wa serikali kama wakina Mchengerwa walivyofanya Bibi Titi Festival ?
 
Bibi titi , Oscar kambona na the likes ndio walikua true Tanganyikans..Waliona mbali na kama malengo Yao yangefikiwa Leo hii watu mil 70 wasingekua wananyanyasika chini ya kikundi cha watu 200.
Nyerere na wenzake wote waliujua mchango wao kwa Tanganyika ambao usingeweza kufutwa kwa mambo Yao yajayo
 
Bibi Titi Mohamed na wenzake walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa makosa ya uhaini ya kutaka kuipindua serikali ya Nyerere mwaka 1970.

Kwa nini amekuwa anaenziwa kwa kupewa Barabara yenye jina lake "Barabara ya bibi Titi" na pia kufanyiwa matamasha mbalimbali ya kukumbuka historia yake na viongozi wa serikali kama wakina Mchengerwa walivyofanya Bibi Titi Festival ?
Majina ya barabara zetu hayazingatii umaarufu.
 
Back
Top Bottom