Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo.
Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto.
Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu wachache walivyo weza fanya kama yeye.
Hata ukiangalia kuibuka kwa Microsoft,mifumo mingi ya Microsoft,Visual studio,Xbox na n.k
Kuna jamaa mmoja alikuwa mathematics na mpenda kufungua makampuni alitokea ufaransa na kwenda kusihi marekani huyu jamaa alimpa wakati mgumu sana bill gate ilifikia mpaka kumpa stress hata wanasema excel ule mfumo na mambo mengi ilikuwa na yeye ndiye mwenye mfumo.
Kuna watu waliotengeneza .Net,java,C#,linux, android na.k wengi walio tambua walijitenga naye maana alikuwa analazimisha na ukikubari kinaonekana ni chake na wewe ndio mwisho wako.
Kama mnakumbuka Nokia wangejua wasinge kubari.
Pendeni kufatilia makala yanaanza kuibua watu na history zao baada ya mrefu.