Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection
Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this planet
Simple. Angalia vitu ambavyo binadamu wanafanya miaka nenda miaka rudi.
Ulaya ni miongoni mwa maeneo ambayo historia ya binadamu iko very well documented, tunaweza kuichukulia kama mfano. Wazungu walianza kuuana wenyewe kwa wenyewe long before hawajaenda kuua watu Afrika, Asia na maeneo mengine.
Chukulia mifano hii
Angalia vifo vyote hivi, binadamu wanauana kwa millions and millions. Na si Ulaya tu, dunia nzima kila sehemu lazima kuna historia ya damu, watu wanauana kwa tofauti za dini zao, tofauti za makabila yao, tofauti za rangi za ngozi zao, tofauti za ethnicity zao, tofauti ya mitazamo yao ya kisiasa nk
Kwa all human races Europeans ndio wako on top kwenye kuua watu, waliua millions of Native Americans, millions of Africans, millions of Asians na Australian native people. Lakini ukitoa Europeans utakuja kugundua hata races nyingine nao ni walewale tu, they just didn't have the chance and ability to, ila binadamu wa race yoyote akipata chance anaweza kuua hadi ukashangaa.
Hadi leo mambo yanaendelea vilevile na tunayaona tukiwa hai. Kwanza tuanze na hapa kwetu yale mauaji ya October 29, wanasema vifo ni 518 ila in actual sense vile ni thousands of people waliuawa mwaka jana. Again, humans killing other humans
Same thing imetokea Iran, Islamic Regime iliua watu 30000+ plus in weeks. Mwaka jana kule El Fasher Sudan watu waliuawa kama kuku, RSF waliua watu elfu 60 ndani ya wiki 3 tu Sudan. Ukiangalia Bangladesh pia walikufa watu 1400 kwenye maandamano ya kupinga utawala wa Sheikh Hasina, again humans killing each other
Kwenye even larger scale unaona mataifa kama USA, Israel, Iran, Russia, Ukraine nk hayaelewani, kila mmoja yuko busy kulipua wenzake. Yani ni vurugu 24/7 zinafanywa na binadamu hapa duniani. Kuanzia history mpaka leo binadamu wanauana tu. Sisi hata wanyama pale Serengeti wanatuzidi kwa utulivu
Ukitoa hayo mauaji ya large scale, ambayo mengi yanafanywa na governments unaweza kudhani basi normal citizens wako safi. Noo, huku chini kuna wauaji wa kila aina. Tanzania yenyewe imeteseka mno na Panya Road Dar es Salaam, wauaji wa albino au wapiga nondo wa Mbeya. Nigeria huko makundi ya bandits yanaua watu kila siku tena kikatili, yani wanaua watu na mapanga, bunduki, wanawachoma wakiwa hai na moto, mauaji ya kikatili na maumivu makali
Hapo bado hujaongelea Islam extremist terrorists kama Al Shabab na Boko Haram
Binadamu wanaweza kutofautiana hata kabila tu ikawa sababu tosha ya kumwagana damu miaka na miaka, kama Wahutu na Watutsi, though ilikuwa na complex story behind ila still yale mauaji yalikuwa too much
Sijui ni nature yetu au ni nini. Ila binadamu ni katili sana, hakuna kiumbe anatufikia hapa duniani. Watu wanadhani Shetani yupo motoni na yuko busy kutafuta wafuasi wa kwenda nae motoni, ila kiuhalisia Shetani ambaye kila siku tunamtafuta ni binadamu. Mashetani wapo maofisini, nyumbani, mashuleni. Shetani hana mapembe, shetani anavaa suti na tai, ana mikono miwili, miguu miwili, amejichanganya katikati yenu na unapishana nae kila siku unapoenda kuzunguka. Mashetani wapo kila nchi na wanakuja kwa kila rangi ya ngozi, weusi, wa brown, weupe na everything between
Mimi nashangaa sana wafia dini wanavyosema eti we are God's perfect creation. Kama kweli Mungu yupo basi humans ni one of his biggest failures

- Waingereza na Wafaransa waligombana vita iliyodumu kwa zaidi ya miaka 100 kuanzia mwaka 1337 hadi 1453 na kusababisha vifo unnecessary milioni 2.5 hadi milioni 3.5, unaweza kujionea jinsi binadamu wanavyochukiana
- Vita vya dini Ulaya (1618 hadi 1648). Imagine watu wanauana kisa dini na kusababisha vifo milioni 4.5 hadi milioni 8 in Central Europe
- Napoleonic Wars (1803 hadi 1815)- Vifo milioni 3 hadi 6
- World War I (1914 hadi 1918)- Vifo milioni 15 hadi 20
- World War II (1939 hadi 1945) - vifo milioni 75 hadi 80