The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
- Thread starter
- #21
Hii haijatengenezwa kweli?
Mambo ya evolution hayo hata wadada mnavyochagua wanaume warefu tu ipo siku kizazi cha wafupi kitatoweka, hata aina za wanyama walishindwa kufanana na mazingira watoweka.
𝓗𝓪𝓹𝓸 𝓴𝔀𝓮𝓷𝔂𝓮 𝓪𝓴𝓲𝓵𝓲 𝔂𝓪 𝓴𝓾𝓽𝓪𝓯𝓪𝓴𝓪𝓻𝓲 𝓷𝓭𝓸 𝓹𝓮𝓷𝔂𝓮 𝓴𝓲𝓵𝓪 𝓴𝓲𝓽𝓾 𝓷𝓭𝓪𝓷𝓲 𝔂𝓪𝓴𝓮Vitu vingi tumenyimwa lakini tumepewa akili ya tafakari , utashi, dhamiri nk.
Huwezi kuamini navyo huwenda vinatamani vingejaliwa majaliwa ya binadamu.
Lakini ujumla kila kiumbe kimeumbwa kwa namna yake ilibkuweza kuishi kulingana na mazingira yanayo kizunguka.
UniverseUlinyimwa na nani?
Kuna siku niliwahi kuuliza swali hili japo majibu hayakupatikana ila binadamu tumenyimwa vingiKwanini binadamu ulinyimwa sumu kama nyoka, meno kama simba, mabawa na kucha kama tai, macho kuona usiku kama chui, kuhema kwenye maji kama samaki, mkonga kama wa tembo, kwanini hautagi mayai kama mbuni
Mzee ukianza ulitaka kila kitu uwe nacho ?