Kwa nini binadamu tulinyimwa uwezo kama waliopewa viumbe hivi?

Kwanini binadamu ulinyimwa sumu kama nyoka, meno kama simba, mabawa na kucha kama tai, macho kuona usiku kama chui, kuhema kwenye maji kama samaki, mkonga kama wa tembo, kwanini hautagi mayai kama mbuni

Mzee ukianza ulitaka kila kitu uwe nacho ?
 
Vitu vingi tumenyimwa lakini tumepewa akili ya tafakari , utashi, dhamiri nk.

Huwezi kuamini navyo huwenda vinatamani vingejaliwa majaliwa ya binadamu.

Lakini ujumla kila kiumbe kimeumbwa kwa namna yake ili kuweza kuishi kulingana na mazingira yanayo kizunguka.
 
๐“—๐“ช๐“น๐“ธ ๐“ด๐”€๐“ฎ๐“ท๐”‚๐“ฎ ๐“ช๐“ด๐“ฒ๐“ต๐“ฒ ๐”‚๐“ช ๐“ด๐“พ๐“ฝ๐“ช๐“ฏ๐“ช๐“ด๐“ช๐“ป๐“ฒ ๐“ท๐“ญ๐“ธ ๐“น๐“ฎ๐“ท๐”‚๐“ฎ ๐“ด๐“ฒ๐“ต๐“ช ๐“ด๐“ฒ๐“ฝ๐“พ ๐“ท๐“ญ๐“ช๐“ท๐“ฒ ๐”‚๐“ช๐“ด๐“ฎ
 
Kupewa na nani ?; Na ukiwa hivyo inakusaidiaje hao wengine ni camouflage kama wasingekuwa hivyo wangeshakuwa extinct kwa kuliwa na predators wao kwa urahisi...

Ni mwendo wa ku adapt na survival of the fittest kama huwezi ku adapt basi unasahaulika waulize kina Dinosaur
 
Kwanini binadamu ulinyimwa sumu kama nyoka, meno kama simba, mabawa na kucha kama tai, macho kuona usiku kama chui, kuhema kwenye maji kama samaki, mkonga kama wa tembo, kwanini hautagi mayai kama mbuni

Mzee ukianza ulitaka kila kitu uwe nacho ?
Kuna siku niliwahi kuuliza swali hili japo majibu hayakupatikana ila binadamu tumenyimwa vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ