Kwa nini Capitalism imeshindwa kuwatoa Kenya?

Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi
You can't eat GDP πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani Kujisifu una uchumi mkubwa wakati kwa ground vitu ni different.


 
Kenya kuanzia kesho,yaani 2020 tunaingia katika nchi chache sana Afrika ambazo zina GDP zaidi ya $100 billion. Wacha wajinga waendelee kuropokwa, sisi tunafanya kazi


100 billion GDP USD kwa watu > milioni 45 ni ndogo sana, ukichukulia nchi ambayo imekuwa ikipractice capitalistic economic system kwa miaka yote hiyo, 100 bilioni GDP inaweza kuzalishwa hata milioni 2 tu, haihitaji watu milioni zaidi ya 45 na miaka zaidi ya 50 kujenga 100 billion dollar economy, hiyo ni failure ukiniuliza mimi.
 
Toa miaka 24 tuliokiwa chini ya dikteta mjinga ambaye hakuwa amesoma na hakujua mambo ya kuendeleza uchumi wa nchi. Hakujenga barabara wala industries.
 
Toa miaka 24 tuliokiwa chini ya dikteta mjinga ambaye hakuwa amesoma na hakujua mambo ya kuendeleza uchumi wa nchi. Hakujenga barabara wala industries.


Kenya ina private sector ambayo ilikuwa active hata wakati wa Moi kwanza hata Kampuni nyingi zimehama Kenya kipindi cha post Moi, Kampuni kama Unilever waliokuwa wana viwanda vya kutengeneza karibia kila kitu na walikuwa wana export eneo lote la Afrika, Viwanda vingi vya Unilever vilifungwa na kuhama in post Moi era, hivyo haina uhusiano na Moi kwani enzi zu Moi hivyo viwanda vilikuwepo.
 
Uniliver tu ndio inafanya useme eti huyo dikteta alikuwa mzuri kwa uchumi wetu? Hivi unajua uchumi wetu ulikuwa unakua kwa asilimia moja au asilimia sufuri. Yaani uchumi haukuwi hata kidogo. Pia 1990s tulipigwa sanctions na America. Uchumi ukadorora, tukakosa foreign exchange, hata tukaingia kwenye recession (yaani uchumi unaanza kupungua badala ya kuongezeka)
 
Kibaki alipoingia madarakani ndio akaanza kujenga barabara tena kuanzia Mombasa hadi Busia. Kwa sababu Moi aliwacha barabara zikaharibika bila kuzikarabati
 
Unajua Capitalism Success ?, unataka iwe vipi ?
The Richest Minority and the Poorest Majority; That is Capitalism at its Best..., and it shows au ulitaka iwe vipi ?

Trickle down of wealth does not happen often enough and all you remain with is inequality....
 
Qatar na UAE wana mafuta tele,na idadi yao ni ndogo sana,usizilinganishe na viji nchi vyetu fukara huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
SA is no longer a country any nation should aspire to become like, maybe Singapore or Malaysia types., SA has issues., going negative! Kenya we are running our own race, trying to fix ourselves, though slow, but making progress.,
Ukabila na ufisadi tu ndiyo unawarudisha nyuma wakenya,kinyume na hapo kenya ingekua level za SA,Malaysia,au singapore.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibaki alipoingia madarakani ndio akaanza kujenga barabara tena kuanzia Mombasa hadi Busia. Kwa sababu Moi aliwacha barabara zikaharibika bila kuzikarabati


Lkn bado ilikuwa ni capitalistic system.
 
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.
 
Lkn bado ilikuwa ni capitalistic system.
Capitalistic system lazima ije na open market, investor friendly policies and stable political environment. Capitalism inaendana na democracy kwani hakuna investor anayeweza invest pesa yake katika dictatorship. Tulipopata uhuru wa pili baada ya dikteta kuondoka ndipo investors wengi wakaja kuinvest Kenya. Industries zilizokuja Kenya baada ya mwaka wa 2003 ni nyingi sana na zote zilikuja kwa sababu ya investor friendly environment. Yaani investors walijua kuwa pesa yao ilikuwa safe.
 
Impact ya huo uchumi wenu mkubwa ni nn....? Mbona kero zilezile tu...Mara mia hata huku.... Jamani au mi ndio naona peke yangu....kuna kipindi nilikuwa Kenya... Honestly hamuendani kabisa na mnavyotuaminisha.
Ulikuwa upande gani wa Kenya.
 
Kumbe kenya imeeendelea kushinda ethiopia [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trying to fix yourselves with corruption?? Kwa hiyo una ji brag kuwa SA siyo level yenu tena? Mumeshaiacha nyuma? Nyie kitu mnaweza sawasawa ni ujambazi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umereply hiyo comment ni wazi kuwa umekubali kuwa nchi yenu ni fukara,
Mada ikiwa nzito mnasema tuna chuki na kenya kumbe ni mada ndio imekuwa ngumu kwenu kuijadili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijashindwa kujadili. Ninajadili na Barbarosa kwa ustaarabu. Lakini kuna watu wengine humu ambao chuki yao kwa Kenya inawazuia kujadili. Mtu anayesema kwamba Kenya hatupandi chakula chochote eti tunaimport kila kitu ni mtu serious kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…